Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap na hiyo anaweza hata kupata cerebral palsy so mazoezi ni muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna hilo ndio tatizo bado ni mdogo ana miaka2 tu
Wanasema udongo upatize ungali maji sasa naogopa kuchelewesha matibabu
Nitashukuru sanaNtakusaidia kukuombea mungu akufanyie wepesi naakupe nguvu yakusimamia hyo shida mpka mtoto akaesawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu humu kuna wataalamu wote na watu wema sanaKwa kweli mm ni memba mgeni humu lkn michango yenu imenifanya nijisikie vizuri sana na namuombea kheri msimamizi wa jamii forums
Kwa sababu inatoa faraja kubwa kwa walio na matatizo ya kweli
Nawashukuruni sana wanachama
Nawasubiria na hao piaKwenye bandiko hili waje akina
CC: Mshana Jr, Sky Eclat
Natambua michango yao sana
Sent using [iPhone 11Pro Max
Uliyoeleza yote yako sahihi kwa mtoto wangu.
Asante sana nitazidisha juhudi ya mazoezi
Kwa hiyo unataka kunambia hakuna njia nyengine ispokuwa mazoezi?
Sikutegemea kupata faraja kubwa kama hii
Hilo neno humo tyr nimeenda nikaona hakuna majibu
Si unajua ukiuguliwa kila njia utapitia