Mwanangu hawezi kukaa naomba ushauri wa matibabu

pole sana mkuu in medical terminology hiyo hali inatwa cerebral palsy. Mara nyingi hutokea wakati wa mama akiwa labour ni hitilafu zinazojitokea wakat wa kuzaliwa. mtoto anapata nerves injur au pathological jaundice(manjano) hvyo kupelekea kuathiri nerves supply kama (miguu,shingo,usu nk).

Hivyo basi kwa kukushauri mwendeleze na mazoezi lakini pia anaglia ni vitu gani ambavyo mpaka sasa anaweza kufanya visvyo wezekana achana navyo. Hili tatzo ni irrivesible kwa maana hakuna matibab ya kumleta katka hali yake katka sekta ya afya nenda popote pale(alishapata deleyed mile stone).

pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado upo KCMC?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machmadem,

The delete jumps ushauri na saga mama akubaliane na hii hali na ni VZR apate wazazi wenye watoto kama hao kwa ajili ya uzoefu wa namna. Ya kuwalea
 
Sawa mkuu na hili nitalifanyiakazi
Ila mm nipo zanzibar naanzaje hapo sina uenyeji
pole sana mkuu Mungu atamponya mtoto wetu ila jitahidi sana kwenye mazoezi, kama mdau alivyoshauri ungeenda na CCBRT hakuna gharama yoyote, mtoto chini ya miaka mitano wanatibiwa bure na kuna hostel kama mtu ametoka mbali, Clinic ya watoto ni jumanne na alhamis
 
Nazingatia ushauri wako mkuu
Ahsante sana mkuu nitafanya hivyo pia
 
Huduma hizi ziko pia CCBRT ya KCMC?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mwanangu ana umri wa miaka 2 sasa. Hawezi kukaza kichwa wala hajaweza kukaa. Nimeenda hospitali hadi leo ni mazoezi tu tatizo hasa sijalijua.

Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru.

Nipo Zanzibar.

MAONI YA WADAU:

===

===
Upo uwezekano pia mtoto ana tatizo la down Syndrome. Kwa miaka ya hiv karibuni kumetokea ongezo la kuzaliwa watoto wenye tatizo la down syndromes.

Nakushauri kutana na daktar wa watoto amtazame, watoto wa namna hiyo huwa na macho madogo na viganya vyao ukiangalia huwa vina mstari mmoja mkubwa uliopita kwenye viganja vyao tofauti na watoto wengine ambao viganya huwa na michoro mistari mitatu (palm).

Mchek vzr mtoto then mfikishe kwa daktari wa watoto.

Pole sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfanyie tu physiotheraphy mkuu coz me mwenyew na deal sana na hao watoto kuwafanyia mazoez hakuna njia nyingine hapo kama issue ni manjano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia mkazanie sana nyumban kumkalisha kumsemesha na hata kumnyoosha viungo taratibu na massage sanasana ili asikakamae pia jitahidi asipate homa coz husababisha degedege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia mkazanie sana nyumban kumkalisha kumsemesha na hata kumnyoosha viungo taratibu na massage sanasana ili asikakamae pia jitahidi asipate homa coz husababisha degedege

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu
Kuna wakati humtokezea kuuma meno hadi dam zinamtoka
Na hapo ndio huuona ugum kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…