Mwanangu kanifundisha somo la Uraia kuhusu uhuru wa kisiasa

Tila-lila2

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
652
Reaction score
1,058
Jana nilienda Shinyanga Mjini baada ya siku kama nane hivi tangu nitoke Dar kwenye msiba wa Ndugu yangu aliyefariki na corona - hata kama vipimo havikuonesha lakini dalili zote zilijitokeza.​

Jioni wakati naelekea stendi nipande gari za Maganzo nikaona ninunue magazeti. Magazeti yanayowahi Shinyanga yanaingia kabla ya saa 2 asubuhi - yale yanayotekea kwa Mwanza. Sasabasi nilinunua tu magazeti kama matatu hivi mojawapo likiwa Mwananchi na sikulisoma kichwa chake cha habari.​
​
Kwa kuwa kwenye daladala tulibanana (hatujali corona) sikuweza kuyasoma hayo magazeti mpaka nilipofika maskani. Baada ya kufika mwananngu ambaye jumapili anatakiwa aende shuleni Mara akaniambia anaomba gazeti la Mwananchi alipitie (akanikumbusha pia wkt nafanya kazi kil siku nilikuwa narudi nyumbani na magazeti - nikajichekesha tu).​

Baada ya kumpa lile gazeti aksoma kichwa cha habari ambacho kilionesha kuwa CHADEMA wanafuatiliwa kwa matumizi ya fedha ambazo walikusanya kutoka kwa wabunge wao. Basi akaniuliza maswali kadhaa kama vile je hao wabunge walilazimishwa kukusanya, je fedha hizo alipewa tu Mbowe?​
​
Je, kama zilikuwa ni za wabunge wametoa kwenye chama chao inakuwaje Serikali hasa TAKUKURU waingilie kufanya uchunguzi, basi akaniuliza maswali mengi tu na mwishowe akaniambia - kama yeye anaona vile Serikali haikitaki kabisa CHADEMA. Hapo nikaguna - nikamwambia inawezekana lkn nikamwuliza kwani yeye kaona nini cha ajabu?​

Akaniambia hivi hata CCM nao wanaweza wakahojiwa kwa ajili ya matumizi ya fedha zao? Kwa mfano akajitolea mfano mwenyewe kwamba mwaka jana alinunua kadi ya Umoja wa Vijana wa CCM na anaamini inaweza ikawa haijatumika vizuri sababu hata risiti hakupewa.​

Je, anaweza kumwajibishaje yule aliyemwuuzia kadi ile kama atakuwa katumia fedha za kadi vibaya? Akaendelea kuniambia mfano Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA anahusishwa sana na fedha za CHADEMA, je hiyo inaweza pia ikafanyika kwa Mwenyekiti wa CCM iwapo CCM inakuwa na matumizi mabaya ya fedha?​

Kuonesha ana ufahamu mzuri kuhusu siasa akasema Dr JPM alipoingia madarakani aliunda timu ambayo ilibaini ubadhirifu wa mali za CCM wkt wa JK, je kwa kuwa JK alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM wakati huo kwa nini hata haikuwahi kusemwa kuwa TAKUKURU wamhoji JK kuhusu matumizi ya fedha hizo?​

Kwa kweli mwanangu Fadhili aliniuliza na kujadili nami mambo mengi sana kuhusu habari ya Mwanachi jana na mambo ya TAKUKURU inavyofanya kazi kwenye ulingo wa siasa hadi nikajiuliza kuhusu Mwl anayemfundisha General Studies huko shuleni kwake (siitaji shule isije ikaleta tatizo). Inawezekana Mwl huyo anawafundisha watoto siasa ngumu sana.​

Zaidi ya yote mwanangu alinionesha ni namna gani vijana wadogo wa umri kama wake wa miaka 19 wanaanza kuelewa dhana ya uhuru wa kufanya siasa kwa haki na kwa uhuru. Anaonesha kwa mifano halisi namna uhuru wa kufanya siasa unavyobinywa.​

Mpaka mwaka jana alikuwa anaisema vizuri CCM kutokana labda ni kunifariji mimi niliyekuwa MwanaCCM. Kwa sasa naona anabadilika na hata rafiki zake nafikiri watakuwa wanafikiri kama yeye. Ninavyotabiri kwa matendo haya CCM inaweza ikawa sio salama sana!​
 
Mtoto yako yuko sahii unapashwa kutambua kuwa chadema Imanza kabla ya Jesus Christ Mnano 1400 Bc
 
Wakati mwanao anakuuliza hayo maswali je anafahamu kuwa Chadema ni chombo cha umma au cha mtu mmoja? Je wabunge kuchangia pesa ndio iwe sababu ya mtu kuzitumia pesa zao anavyotaka? Je mwenyekiti w Chadema anaruhusiwa kuikopesha Chadema bila maandishi?
Pi muulize Jakaya wakati ni mwenyekiti alituhumiwa kujilipa mabil ya Ccm?
Na muulize anafahamu kuwa Ccm iliunda kamati yake kuangalia mali zake na ubadhilifu ndani ya Ccm. Je Chadema wanaweza kufanya hivyo?
 
Woga mwingi huondoa maarifa,hivi kwanini CCM inatumia nguvu za ziada kumsambaratisha Chadema hata kabla ya ballot box?
Huyu huyu Chadema anayeshinda mahakamani kila siku akishtakiwa kwa mdomo mbovu?
Huyu huyuChadema anaesimama jukwaani akishuka tu anapelekwa Segerea?
 
Chadema ilishakufa tupo kwenye maziko
 
Ukiisoma General studies vizuri hasa International Affairs na Democracy na history hasahasa paper Two vizuri huwezi kuwa MATAGA.Ninavyohisi muda si mrefu Syllabus zitabadirishwa,huwezi kut ofautisha kati Klemens Otto Von Matternich na JPM.
 
Upo mkweli na hasa ukikuta Mwalimu anayefundisha hana uchama!
 
Wakati mwanao anakuuliza hayo maswali je anafahamu kuwa Chadema ni chombo cha umma au cha mtu mmoja? Je wabunge kuchangia pesa ndio iwe sababu ya mtu kuzitumia pesa zao anavyotaka? Je mwenyekiti w Chadema anaruhusiwa kuikopesha Chadema bila maandishi?
Pi muulize Jakaya wakati ni mwenyekiti alituhumiwa kujilipa mabil ya Ccm?
Na muulize anafahamu kuwa Ccm iliunda kamati yake kuangalia mali zake na ubadhilifu ndani ya Ccm. Je Chadema wanaweza kufanya hivyo?
Kwn majibu ya waliofuja hela za ccm c yalitoka?? Nani aliitwa na Takukuru kuhojiwa baada ya kamati kusema kuna ubadhifu mkubwa wa mali za chama?? au baada ya CAG kutoa hati chafu kwa ccm wa upotevu wa milion 830 nani aliitwa na Takukuru kuhojiwa?? kama kweli chama chenu kina watu safi ni nani kati ya magufuri au Katibu mkuu alikemea huo upotevu na kusababisha ccm ipate hati chafu??? M'kiti wenu anajinasibu eti anapambana na rushwa , mbona ni miaka minne sasa ccm inapata hati chafu mfurulizo na amekuwa bubu?? hii tunaita zilongwa mbali na zitendwa mbali...msitake kuipaka chadema matope kwa mgongo wa Takukuru...Takukuru pia ni wezi na wala rushwa kama serikali yao....sisi tutasimama na ripoti ya CAG hata kama watakuja na matokeo ya kumfurahisha jiwe na wasiotutakia mema sisi chadema..mbona Tr 1.5 hadi leo hazijulikani ziliko na mmeufyata???
 
L
Mtoto yako yuko sahii unapashwa kutambua kuwa chadema Imanza kabla ya Jesus Christ Mnano 1400 Bc
mtoto yako.....
Unapashwa
Imanza...hapa Sina tatizo inaelekea umesahau 'e' lakini hayo mawili ya juu mmmh
 
Kwn majibu ya waliofuja hela za ccm c yalitoka?? Nani aliitwa na Takukuru kuhojiwa baada ya kamati kusema kuna ubadhifu mkubwa wa mali za chama?? au baada ya CAG kutoa hati chafu kwa ccm wa upotevu wa milion 830 nani aliitwa na Takukuru kuhojiwa?? kama kweli chama chenu kina watu safi ni nani kati ya magufuri au Katibu mkuu alikemea huo upotevu na kusababisha ccm ipate hati chafu??? M'kiti wenu anajinasibu eti anapambana na rushwa , mbona ni miaka minne sasa ccm inapata hati chafu mfurulizo na amekuwa bubu?? hii tunaita zilongwa mbali na zitendwa mbali...msitake kuipaka chadema matope kwa mgongo wa Takukuru...Takukuru pia ni wezi na wala rushwa kama serikali yao....sisi tutasimama na ripoti ya CAG hata kama watakuja na matokeo ya kumfurahisha jiwe na wasiotutakia mema sisi chadema..mbona Tr 1.5 hadi leo hazijulikani ziliko na mmeufyata???
So what? Ass...ole
 
Watu mna facts. Umetiririrka!
 
Wakati mwanao anakuuliza hayo maswali je anafahamu kuwa Chadema ni chombo cha umma au cha mtu mmoja? Je wabunge kuchangia pesa ndio iwe sababu ya mtu kuzitumia pesa zao anavyotaka? Je mwenyekiti w Chadema anaruhusiwa kuikopesha Chadema bila maandishi?
Pi muulize Jakaya wakati ni mwenyekiti alituhumiwa kujilipa mabil ya Ccm?
Na muulize anafahamu kuwa Ccm iliunda kamati yake kuangalia mali zake na ubadhilifu ndani ya Ccm. Je Chadema wanaweza kufanya hivyo?
Umeelewa maswali aliyouliza kijana au umechagua tu maadhi ya maswali ili yakutengenezee comment?

Moja ya sifa iliyomfanya bashiru kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa ccm, ni kuongoza vizuri japo la kuchunguza mali za ccm, hii ni kwamujibu wa mamlaka ya uteuzi.

Mbona hamkutuma takukuru pindi mlipopata mashaka?
Na baada ya kugundua ufujaji wa fedha za ccm, mbona hamkutumia hata polisi kuwachukulia hatua wabadhirifu?

Acheni upimbi bhana
 
Back
Top Bottom