Mwanangu kaniuliza baba mbona mama kajaa tumbo (mjamzito) nimepatwa na kigugumizi. Wewe ungejibuje?

Mwanangu kaniuliza baba mbona mama kajaa tumbo (mjamzito) nimepatwa na kigugumizi. Wewe ungejibuje?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Swali hili nililoulizwa na mwanangu Justine wa miaka 4 limeniacha mdomo wazi na nimeshikwa na kigugumizi.

BABA MBONA MAMA KAJAA TUMBO?

Wewe ungejibuje hebu tusaidiane wakulungwa.
 
Anadhani mtoto wake hajui, hapo dogo anataka kusikia tu kutoka kwa mtu anayemwamini kuwa anajua kila kitu. Kwenye makatuni wanayotazama wanaona kila kitu nakumbuka siku moja wale Tommy and Jerry walikimbizana kile kipanya kilivyokamatwa kikaliwa tigo toka siku ile nilipiga marufuku kuangalia hiyo programu kwangu
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Swali hili nililoulizwa na mwanangu Justine wa miaka 4 limeniacha mdomo wazi na nimeshikwa na kigugumizi.

BABA MBONA MAMA KAJAA TUMBO?

Wewe ungejibuje hebu tusaidiane wakulungwa.
Hii ni "Siasa" ya nyumbani kwako, sio kwenye jukwaa hili.

Hata hivyo: Hongera zako.
 
Hahahahah hilo swali niliulizwa na mjomba wangu siku moja.
Mbona mama tumbo kubwa?

Nikamwambia mama yenu alikutapikeni. Dada yako alikuwa tumboni akamuudhi mama akamtapika.

Na wewe pia ulikuwa tumboni ukamkera akakutapika sababu we mtundu sana. Alivyokutapika wewe akala embe akashiba ndio akatokea mdogo wako. 😂😂😂
 
Naiona haja ya sisi kutengeneza kizazi kijacho cha kusema ukweli na chenye kudadisi na kuukubali ukweli.
 
Back
Top Bottom