Digoxin JR
Member
- Jul 1, 2014
- 83
- 14
Amezaliwa akiwa amebabuka kama vile ameungua.
Hiyo inasababshwa na nini?
Matibabu ni yapi? (Dawa)
Hiyo inasababshwa na nini?
Matibabu ni yapi? (Dawa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda hospitali, kubabuka kuna sababu nyingi ikiwemo maambukizi, hapa huwezi kupata msaada wa uhakika kwakuwa inahitajika kumwona na kuuliza mswali mengi zaidi
Amezaliwa akiwa amebabuka kama vile ameungua, hyo inasababshwa na nin? Matibabu ni yap? (Dawa)