Mwanangu kazaliwa amebabuka

Mwanangu kazaliwa amebabuka

Digoxin JR

Member
Joined
Jul 1, 2014
Posts
83
Reaction score
14
Amezaliwa akiwa amebabuka kama vile ameungua.

Hiyo inasababshwa na nini?

Matibabu ni yapi? (Dawa)
 
Nenda hospitali, kubabuka kuna sababu nyingi ikiwemo maambukizi, hapa huwezi kupata msaada wa uhakika kwakuwa inahitajika kumwona na kuuliza mswali mengi zaidi
 
Back
Top Bottom