Namkumbuka Makonda alivyombonda mzee Warioba ambaye mpaka sasa ni kimya kabisa!!!!!!Hii ndiyo shida ya vijana tulionao. Hawajui kwamba waliounda vyama vya upinzani ni watanzania walewale hisipokuwa wanawaza tofauti na inavyowaza CCM. Wamerithi kasumba mbaya ya Magufuli ya tokuamini ktk nguvu ya hoja. Kwao wao siasa ni matusi, kejeli, kukomoana na ni ugomvi hadi kuuwana. Tukiwaendekeza watu wa aina hii tutaliangamiza taifa. Kila raia ana haki sawa na mwingine, ni bahati mbaya tu wao wanajiona bora kuliko wengine.
Tufike mahali tujiulize uteuzi unakwenda je???? Kweli Bashite alifahaa kuwa hata mkuu wa mtaa??
Hatuendi mbele kama tuna vijana kama hawa. Tumeipigania nchi tumeilinda na tupo kimywa kwenye misingi ya mwalimu siyo ya Magufuri kama alivyojinadi.