Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu
MAKONDA a.k.a last born kama ameweza kumpindua Chongolo, mzee wa "kaunda suti" basi lolote litegemewe ndani ya chama: Kumbe ndiyo sababu alianza ziara na misafara mikubwa kuliko hata ya Naibu Waziri mkuu bwana Dotto.
 
Nimejikuta nakumbuka wimbo (taarabu) ya Zamani kidogo kwa wale tulioanza kunyoa ndevu zamani, wimbo ulikuwa na maneno haya " Mdudu eeeh, mdudu, kaingiaje, mdudu.....ndani ya Kokwa ya embe, kaingiaje?........CCM imeingiza mdudu kwenye chama SASA vilio kila kona kwenye korido za majengo ya CHAMA.
 
Huo ukatibu mkuu hupatikanaje ndani ya chama?

Mtu aweza kufanya figisu apendekezwe?

Au ni mapenzi ya mteuzi!

Mbona mnataka kutuona nyani...

Eti naenda kuzuia! kivipi yaani?
Mapenzi ya mteuzi ambaye ni mwanadamu yanaweza kushawishiwa tu. Jibu ni ndiyo figisu zinafanyika kupitia mbinu mbalimbali mojawapo ni kwa kushawishi ambao mteuzi anawasikiliza au amewapa nguvu ya kumshauri au anawaamini wana nia mamoja naye. Kuzuia anaweza,inategemea yeye ni nani CCM na ana ushawishi kiasi gani na kwa nani.
 
Ujinga tu...kwani mlikuwa wapi kutafuta mtu kipindi chama kinayumba....utazuia ili umlete nani...mkiulizwa makonda kawakosea nn...? Hamsemi..ila hamtaki Ateuliwe... si mseme kawakosea nn?
 
Huyu ndio mzee Tupatupa tuliyemzoea!!
 
Sasa mkuu kama mlishindwa kumzuia kumpa makonda uenezi mtaweza kumzuia kumpa ukatibu mkuu kama mwenyekiti mwenyewe anataka? Maana tunasikia hata huo uenezi mlimkataza.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia polepole ana rudi .....kosa kubwa na lakipumbavu alilofanya samia ni kuwasikiliza wahuni wa msoga kwa kumuondoa polepole chamani ...polepole alikuwa anajua nini maana ya chama tawala na nini maana ya chama cha siasa...kwa sasa samia anajaribu kucheza karata zake za mwisho baada ya za mwanzo kuzikosea ..samia yupo kwenye karata za kufa na kupona sasa hivi ana maadui kila pande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…