Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Yatuhusu nini yote haya; kwani JF ni chombo Cha Ccm?
 
DAUDI ALBERT BASHITE a.k.a Paul Makonda anajiringia ùchawi, hicho ndio kitu pekee anachoweza.
 
Vuta-nkuvute, Kama ulichokisema ni kweli, basi Makonda ni kiumbe wa kuogopwa. Yaani muda mfupi tangu ateuliwe kwenye uenezi tayari amefanya mapinduzi.? Akipewa ukatibu si atataka umwenyekiti? Tusubiri muda si mrefu tushuhudia adithi ya kisa cha boss na ngamia wake.
 
subiri uje upigwe tukio la mshangao na huyohuyo Mama halafu baadae urudi hapa kulalamika.
 
Katibu Mkuu atapendekezwa na Mama Samia na atapitishwa na chama, ila huwezi kuwa. Mama Samia, Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa, hawezi kuichora picha ya kuogofya kirahisi kwa kukupendekeza. Ukae kwa kutulia.,[emoji1787][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa navutiwa sana na uandishi wa Mzee Tupatupa, hana papara.

Na ni mfia chama kwelikweli, hana ajenda binafsi zaidi ya chama chake kwanza.
Hujazijua Siasa za Ccm na kwa ujumla Nchi hii. Mwaka 2015 aliposikia Dr.Slaa amejitoa Chadema na kaitisha press, alihaha hapa Jf kumuomba Slaa asiitishe press. Alikuwa very desperate sana.

Kwa Mtu makini inakuwa ni rahisi kujua huyo ni Mtu gani. Kitendawili tegua
 
Kama kweli alikuwa anaongea hayo maneno basi huyo Jamaa atakuwa ana tamaa sana aisee.

Pili ingependeza sana Said Mtanda RC wa Mara awe Katibu Mkuu ila naona haitaweza kutokana na mambo yenu ya udini maana itaonekana safu nzima ni Waislamu.
 
Chama cha matope mna vituko kweli kweli.
Inaonyesha Daudi ni tishio sana, mbona mnamuogopa kiasi hicho ?....au kawaroga ?
 
Alilolopanga Mungu binadamu hawezi kulizuia.

Wewe kura yako ni moja tu kama kweli ni mjumbe wa vokao husika.
 
Mimi naona Makonda anafaa tu. Tatizo makundi haya ndani ya chama. Inaonekana kama Magufuli ameanza kukumbukwa. Lile kundi lingine la "watu wema hawafi" sijui kama litakubali... "Ugomvi wetu furaha yao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…