Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

mungu katunusuru mengi utotoni,ilikuwa mwenzio kaumia akitoka damu ili kuzuia damu isitoke ilikuwa unainyonya damu!
 
Tuliambiwa kila ugonjwa una tiba yake na tiba ni Mimea na Matunda,
Ila kwa sisi wa Tz tunaona kutumia majani ni ushamba lakini seriously watu wanapona hadi Kansa kwa Majani ya Mstafeli au majani ya Hinna.

Mlonge kuna mtu alikua na VVU alitaka kunipigia magoti kwa furaha.
Duh
 
Duh! Leo nipo zamu kitengo cha UKIMWI!

Pole sana ndugu yangu, lipokee kwa upendo na msaidie mwanao kuanza ART. Tunawahudumia wengi wenye umri mdogo na wanadumu for years. Tuwachunge sana watoto wetu!
 
Tuliambiwa kila ugonjwa una tiba yake na tiba ni Mimea na Matunda,
Ila kwa sisi wa Tz tunaona kutumia majani ni ushamba lakini seriously watu wanapona hadi Kansa kwa Majani ya Mstafeli au majani ya Hinna.

Mlonge kuna mtu alikua na VVU alitaka kunipigia magoti kwa furaha.
Hata asali,vitunguu swaumu na habbat soda kama ukila na ukazingatia lishe vzr unapona kabisaa!
Tatizo tumekaririshwa mnoo juu ya hivi vitu!
 
Poleni sana, Mungu awape nguvu ya kukabiliana na hali hii
 
Hiyo aiwezekani hata kama mkewe aliingiliwa na mtu mwenye virusi akampa mimba na kwakuwa mama mzima ina maana akuna chance kwa sababu virusi havikai kwenye mbegu hivyo mbegu inapoingia kwenye yai inakuwa haina virusi..hivyo mtoto anakuwa salama na kwa kuwa mama yupo salam basi hakuna ukimwi
Kama atapima DNA apime tu ajue kama mtoto wake lakini hata kama si wake hakuna uwezekano wa mtoto kupata kwa sababu mama yupo salama
Una uhakika katika kuingiliana uwezekano wa michubuko ukoje? Pia sijazungumzia kwa mwanamke namsemea mtoto hasa anapokua shuleni,mtaani ama nyumbani.
Naongelea kutokana na experience ya kazi niliyowahi kufanya na shirika la right to play watoto wengi wameripoti matukio ya kubakwa na ndg zao/watu wa karibu sana wawapo shuleni,nyumbani nk pia kuna watu wazima huwasubiri watt njiani hasa wanaosoma shule za kutwa kwa kuwapa zawadi ndogondogo kama pesa kati ya sh.200-500 na kuwabaka,wengine ni wanafunzi unakuta katoto kako std ii kameshawashughulikia wenzake 7 unamhoji mtoto alijuaje huu uchafu anasema alifundishwa na mjomba wake alipotembelea mjini,Jamani kuna matukio mengi sana siwezi kueleza yote hapa
 
Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).

Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.

Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.

Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.

Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.

Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?

Niko na huzuni sana ndugu zangu.

Kacheki DNA ya mtoto kama ni wako ama lah, inawezekana mkeo alichepuka na kupata hiyo Mimba kwa Baba Mwenye Ugonjwa
 
Imenitouch sana hii asee! Hadi amefikia hatua ya kuharisha na kutapika viral load itakuwa heavy sana na stage yake itakuwa sio ya kuridhisha.

Muwaishe akapate medication mapema, but habari nzuri zipo kwamba kuna uwezekano mkubwa HIV ndani ya miaka 10 ikapatiwa cure kwani research za Dawa ya kutibu kabisa zimefikia karibu sana kugundua Dawa ya HIV akiwemo Dr Khalil mmarekani huyu amefanikiwa kutibu panya na sokwe kibao kwa tiba yake ya cell editing waliowapandikiza HIV na wote wàlipona kabisa.

Israeli wana Dawa yao inaitwa Gamorah iko katika hatua ya mwisho kabisa kukamilika.

USA tu ndio wanachelewesha maana HIV kwao ni fimbo ya kuchapia mataifa ya ulimwengu wa tatu kwa misaada via USAID.. Sasa ikipatikana tiba tutakuwa na kiburi so he is controlling us kwa kupitia HIV maana soon Dawa ikigunduliwa atapoteza ushawishi wake Duniani.

But its around the corner maana anataifa kibao yanavumbua Dawa na kupata nguvu.

Relax! We will survive!

Usife moyo mkuu..mwanao probably akapona kabisa kama atasurvive for the next 10 years to come which is possible akipata medication early.

Don't lose hope.

Though, I'm so sorry to hear this? Sometimes the world is cruel and heartless.

BIG UP!!!Mkuu you Made My Day kwa kumpa Moyo mwenzetu kwa janga lilomkuta na mimi pia umenipa ujasiri saana mkuu
Kwa uwezo wa ALLAH huyo MALAIKA wa MUNGU atapona INSHAALLAH[emoji1317] Ameen,!![emoji1317]
 
Tena Habat Sauda mashuhuda kibao wa VVU wamepona... me naiheshimu sana ndio dawa yangu natumia hospital nafata vipimo tu.
Bonge la dawa habbat soda Mimi kwa sasa hua naenda Hosp kufata vipimo najitibu kwa miti shamba tu!

Watu wanapona ukifata proper dose though some people will argue!
 
Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).

Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.

Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.

Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.

Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.

Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?

Niko na huzuni sana ndugu zangu.
Mlishe vizuri mwanao,usimpe ARV kaa baada ya mda kama miezi sita hivi na zaidi huku akila vizuri nenda kampime tena atakua mzima wa afya.(NINA UHAKIKA NA NINACHOKIONGEA)
 
Back
Top Bottom