Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

pole sana, Mwenyezi mungu mweza wa yote akupe faraja.
 
Mlishe vizuri mwanao,usimpe ARV kaa baada ya mda kama miezi sita hivi na zaidi huku akila vizuri nenda kampime tena atakua mzima wa afya.(NINA UHAKIKA NA NINACHOKIONGEA)
Nilitaka kusema hili la kutokumpa ARV ila nikaogopa kushambuliwa.

Yaan hapo adili na healthy foods tu, ataona kama huyo mtoto atakohoa au kuharisha.
 
Kacheki DNA ya mtoto kama ni wako ama lah, inawezekana mkeo alichepuka na kupata hiyo Mimba kwa Baba Mwenye Ugonjwa
Jamani kama hivyo mama si angekutwa na maambukizi, kwani mtoto anapata maambukizi wakati wa mama kujifungua na wakati wa kunyonyesha msimuongezee mwenzenu stress.
 
Nilitaka kusema hili la kutokumpa ARV ila nikaogopa kushambuliwa.

Yaan hapo adili na healthy foods tu, ataona kama huyo mtoto atakohoa au kuharisha.
Wabongo hatupendi kufikilia nje ya box na hata wataalam wetu wa afya hawawezi kujiongeza mwisho wa siku tunauwana.
 
Jamani kama hivyo mama si angekutwa na maambukizi, kwani mtoto anapata maambukizi wakati wa mama kujifungua na wakati wa kunyonyesha msimuongezee mwenzenu stress.
Kuna watu ushauri wao kama wa nguvu za Giza!humu eti DNA serious...?!!

Wakati mashuleni wenye ukimwi wapo kibao
Na huyo ni mtoto mdogo!
 
Kuna watu ushauri wao kama wa nguvu za Giza!humu eti DNA serious...?!!

Wakati mashuleni wenye ukimwi wapo kibao
Labda hawana elimu ya jinsi virusi vya ukimwi vinavyoambukizwa.....Yaani tuombee sana watoto wetu nimejikuta naogopa daah inauma sana.
 
Mwenzangu acha tu!!!wengine sie tiba mbadala zimetuathiri mnooo!!!

ARV's wala sio nzuri ampe mitishamba huyooo na mlo Kamili
Wengine ndio tunaitwa waganga wa kienyeji kabisa, lol

Yaan kwa sasa namsisitiza adeal na Mlonge mbona atasahau kila kitu.
 
Pole sana kwa tatizo lililokupata!..
Lakini nimewaza hao wanafamilia walipima kwa hiari specialy msichana wa kazi. Unajua kupima kwa shurti ukimwi sizani hata mahakama inaweza toa amri hiyo!.
Kwa hiyo katika maelezo yoooote wewe umeona hilo tu??
Ngoja yakukute utaipeleka hospital ikapimwe hadi gari unayopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…