Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Hii ya saluni ndio kila kukicha naiwaza,, siku nikipima nikakuta nna ngoma basi 99% saluni ndio itakuwa imehusika.
 
Kama ananyoa saluni za mitaani kautoa kwenye mashine za kunyolea pia, siku hizi uangalifu juu ya mashine za kunyolea ni dhaifu..... Pole sana
 
Ifike mahali tujaribu kuwa sensitive kama binaadamu.

Vaa viatu vya mtoa mada. Ana uchungu gani.

Umesoma maelezo na umeona kabisa ameelezea walivyojipima na kurudia kujipima.

Why are you insisting she got it from her Dad?

Disappointed.
Lichawi hili
 
usi uzunike sisi wazazi tuna pobalikiwa kupata mtoto basi tunaona mambo mengine ya kulinda mtoto yawezekana pale unampo muona tu au mwenyezi mungu.ni sifike huko.watoto siku zote wanapo kuwa kwenye michezo huokota vitu mbali mbali na njia za maambukizi zipo nyingi kama utazikumbuka na hiwapo kama anajumuika na wototo wenzake na walikuwa wameathirika na kucheza kukuta sehemu za vidonda au vitu walivo tumia kama nyembe n.k
 
Ni kweli kabisa, ni vizuri amuanzishie dawa sasa hivi na akifuata masharti miaka 10 na Zaidi ataishi
 
Reactions: Cyb
Uko sahihi kabisaa!!wanapona nna ushuhuda wa aliyepoa sema watu hivi vitu hawaamini lakini vipo tena kama huyo mtoto ni mdogo ndo kupona rahisi
 
Pole sana,ila ukimwi sio tatizo kama umeokoka.

Dada yangu alikutwa ana HIV + katika mazingira yasiyoeleweka.Akapima mara tatu kwenye hospitali kubwa hapa nchini akakutwa ameathirika.
Akaamua kwenda kwenye maombi kwenye kanisa moja mwenge linaloongozwa na Mtume na Nabii.Hivi sasa ni mzima.Amepima kwenye hospitali kadhaa ikiwamo muhimbili kwenye kipimo kikubwa,majibu yametoka yupo negative.
 
Yawezekana akiwa mchanga ulikuwa na housegirl labda house girl alikuwa mwathirika, alikata hata kucha zake akajikata halafu kiwembe hicho hicho tena akamkatia mtoto kucha!!!!
 
Very sad story indeed....
Niliwahi kupata kesi kama hiyo ya mtoto alizaliwa na VVU basi akawa anatema mate kwenye mboga au kwenye maji ili na wengine waupate.

Me nadhani si vema kuwaambia watoto kua wana maambukizi kwasababu hua ni ngumu sana kukabiliana na hali hiyo hasa kakiwa kagonjwa kagonjwa pia kuwatangaza ni kuleta unyanyapaaji mpk sasa suala la unyanyapaaji kwa wagonjwa wa VVU na TB ni mkubwa sana.

R.I.P my Besty Anna, died too young (when were standard seven)
 
Hiyo aiwezekani hata kama mkewe aliingiliwa na mtu mwenye virusi akampa mimba na kwakuwa mama mzima ina maana akuna chance kwa sababu virusi havikai kwenye mbegu hivyo mbegu inapoingia kwenye yai inakuwa haina virusi..hivyo mtoto anakuwa salama na kwa kuwa mama yupo salam basi hakuna ukimwi
Kama atapima DNA apime tu ajue kama mtoto wake lakini hata kama si wake hakuna uwezekano wa mtoto kupata kwa sababu mama yupo salama
 
Reactions: Cyb
Uko sahihi kabisaa!!wanapona nna ushuhuda wa aliyepoa sema watu hivi vitu hawaamini lakini vipo tena kama huyo mtoto ni mdogo ndo kupona rahisi
Tuliambiwa kila ugonjwa una tiba yake na tiba ni Mimea na Matunda,
Ila kwa sisi wa Tz tunaona kutumia majani ni ushamba lakini seriously watu wanapona hadi Kansa kwa Majani ya Mstafeli au majani ya Hinna.

Mlonge kuna mtu alikua na VVU alitaka kunipigia magoti kwa furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…