Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesoma bandiko ama ndo uwezo wako umeishia njiani mbona kaeleza kila kituKapime na wewe. Kiumjula wazazi wake
Au vitu vyenye ncha kaliPole sana mkuu huyo hajasex itakua kaupata saloon kwenye kunyoa
Lichawi hiliIfike mahali tujaribu kuwa sensitive kama binaadamu.
Vaa viatu vya mtoa mada. Ana uchungu gani.
Umesoma maelezo na umeona kabisa ameelezea walivyojipima na kurudia kujipima.
Why are you insisting she got it from her Dad?
Disappointed.
usi uzunike sisi wazazi tuna pobalikiwa kupata mtoto basi tunaona mambo mengine ya kulinda mtoto yawezekana pale unampo muona tu au mwenyezi mungu.ni sifike huko.watoto siku zote wanapo kuwa kwenye michezo huokota vitu mbali mbali na njia za maambukizi zipo nyingi kama utazikumbuka na hiwapo kama anajumuika na wototo wenzake na walikuwa wameathirika na kucheza kukuta sehemu za vidonda au vitu walivo tumia kama nyembe n.kNililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).
Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.
Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.
Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.
Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.
Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?
Niko na huzuni sana ndugu zangu.
Ni kweli kabisa, ni vizuri amuanzishie dawa sasa hivi na akifuata masharti miaka 10 na Zaidi ataishiImenitouch sana hii asee! Hadi amefikia hatua ya kuharisha na kutapika viral load itakuwa heavy sana na stage yake itakuwa sio ya kuridhisha.
Muwaishe akapate medication mapema, but habari nzuri zipo kwamba kuna uwezekano mkubwa HIV ndani ya miaka 10 ikapatiwa cure kwani research za Dawa ya kutibu kabisa zimefikia karibu sana kugundua Dawa ya HIV akiwemo Dr Khalil mmarekani huyu amefanikiwa kutibu panya na sokwe kibao kwa tiba yake ya cell editing waliowapandikiza HIV na wote wàlipona kabisa.
Israeli wana Dawa yao inaitwa Gamorah iko katika hatua ya mwisho kabisa kukamilika.
USA tu ndio wanachelewesha maana HIV kwao ni fimbo ya kuchapia mataifa ya ulimwengu wa tatu kwa misaada via USAID.. Sasa ikipatikana tiba tutakuwa na kiburi so he is controlling us kwa kupitia HIV maana soon Dawa ikigunduliwa atapoteza ushawishi wake Duniani.
But its around the corner maana anataifa kibao yanavumbua Dawa na kupata nguvu.
Relax! We will survive!
Usife moyo mkuu..mwanao probably akapona kabisa kama atasurvive for the next 10 years to come which is possible akipata medication early.
Don't lose hope.
Though, I'm so sorry to hear this? Sometimes the world is cruel and heartless.
Uko sahihi kabisaa!!wanapona nna ushuhuda wa aliyepoa sema watu hivi vitu hawaamini lakini vipo tena kama huyo mtoto ni mdogo ndo kupona rahisiNaandika huku natetemeka kwa huzuni na uchungu
naelewa jinsi mlivyo sasa hivi poleni sana wazazi, pole kwa baby darling, she is too young to suffer like that,
She needs you guys more than ever plz msimnyanyape wala ndugu zake wasimbague.
Ooh poor innocent soul, wish ningekua hapo nikampa tight hug.
Guess what big bro, the kid will be fine and healthy kama tu mkimuanzishia dozi ya majani ya mlonge na mbegu zake, Mlonge unapandisha cd4 haraka sana na hata kuponesha HIV kikubwa msiuache katika kila diet yake.
Nina ushuhuda wa Mlonge anza sasa utakuja kunambia.
Tengeneza unga wa lishe, utafanya asubuhi unampa kijiko cha chai cha unga wa majani ya mlonge changanya kwenye uji mpe anywe, jioni mpe unga wa mbegu za mlonge kijiko cha chai changanya kwa uji mpe anywe.
Utaleta mrejesho.
Barbarosa mbona hivi jamani!!! Wakati mwingine uache mzaha kwenye mambo yasiyohitaji mzahaKwako!
Very sad story indeed....Kuna kama hio ilitokea katika shule moja (jina kwenye mabano) ni case ya kweli na mimi nipo karibu na shule hio ya msingi ilitokea kisa kama hicho baada ya wazazi kushindwa kuelewa ameupataje huyo mtoto na ni bikra, mzazi alianza kumuuliza kwa umakini mtoto wake akamuuliza swali lingine je hamchanjani na viwembe shuleni? Binti akajibu Kuna rafiki yetu anasemaga ambaye yupo tayari nimchanje tubadilishane damu nampa kitoli (viazi mviringo vilivyowekwa rangi ya njano sisi huku tunaita binzali) baba mzazi akaenda shuleni akaonana na walimu akawaelezea case akaitwa mtuhumiwa wakamwita na mzazi wake, mzazi wake akasema ukweli kua kijana wao alizaliwa na vvu, aisee ilitia simanzi mtoto alipoulizwa kwann anafanya hivyo akasema tuumwe wote. Jamani tuwape tafadhari watoto wetu na ikiwezekana hao watoto watangazwe wazi kua wanamaambukizi ili wenzio wanzao wawe na tafadhari
Hiyo aiwezekani hata kama mkewe aliingiliwa na mtu mwenye virusi akampa mimba na kwakuwa mama mzima ina maana akuna chance kwa sababu virusi havikai kwenye mbegu hivyo mbegu inapoingia kwenye yai inakuwa haina virusi..hivyo mtoto anakuwa salama na kwa kuwa mama yupo salam basi hakuna ukimwiPole sana mkuu! Ila siku hizi kuna kesi nyingi sana za watoto kupelekana chooni wawapo shuleni na kumaliza michezo michafu hivyo wazazi tuwe makini,ila nakushauri uchunguze wakati ukiendelea na tiba ya mwanao huenda ukagundua kuna wapuuzi wameanza kumfunza mambo hayo mwanao.
Tuliambiwa kila ugonjwa una tiba yake na tiba ni Mimea na Matunda,Uko sahihi kabisaa!!wanapona nna ushuhuda wa aliyepoa sema watu hivi vitu hawaamini lakini vipo tena kama huyo mtoto ni mdogo ndo kupona rahisi
Pole ya nini?Pole wangu!