Mwanariadha Mjerumani mwenye asili ya Tanzania ashinda dhahabu mashindano ya Olimpiki

Kwenye suala la Diaspora na Dual citizen nakumbuka kuna kipindi lilikua linajadiliwa bungeni wabunge wa chama tawala walikua wanatoa macho kukataa mpaka unashangaa halafu hawana hoja za msingi.
Pia Tanzania hatudhamini vipaji vyetu yaani huyo angekua bongo angekua msindikizaji tu maani ni kichwa cha mwendawazimu
 
Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana viongozi wenu wamewarithisha ujinga watanzania

kuwa na uraia pacha hawataki!
nchi yenu ni yakishamba sana.

bora mfe masikini.
 
Hiyo ni medali yetu iingizwe kwenye kumbukumbu za taifa.
Ukipigania tupate KATIBA MPYA Hilo lingewezekana!

Kwa 'katiba mbovu' ya Sasa suala la uraia pacha (Dual citizenship ) ni tusi kwa watawala wasiojitambua.
 
Hivi wale mnaoangalia Olympics mmeshawaona Watanzania kule Tokyo 2020. Mimi naangalia sana sijamuona hata mbongo mmoja.
 
Hivi izo olympiki mbona sisi waluguru wenye asili ya kizaramo hatushindagi kila siku ni wagerumani wenye asili ya Tanzania au sweden mwenye asili ya Tanzania tu
 
Hivi izo olympiki mbona sisi waluguru wenye asili ya kizaramo hatushindagi kila siku ni wagerumani wenye asili ya Tanzania au sweden mwenye asili ya Tanzania tu
Sasa unashindia ugali na bamia ndiyo ushinde Olimpiki!! Sisi ni wasindikizaji tu.
 
Hivi wale mnaoangalia Olympics mmeshawaona Watanzania kule Tokyo 2020. Mimi naangalia sana sijamuona hata mbongo mmoja.
watanzania watakimbia kwenye marathon tarehe 7 na 8
 
Reactions: BAK
Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana viongozi wenu wamewarithisha ujinga watanzania

kuwa na uraia pacha hawataki!
nchi yenu ni yakishamba sana.

bora mfe masikini.
Eti kwa akili zao tukiruhusu uraia pacha kutatokea vita!! Hii nchi ina viongozi wengi Mbulukenge mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…