ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mboka hiohuyu atakuwa ni msukuma ubini unajieleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboka hiohuyu atakuwa ni msukuma ubini unajieleza
Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana viongozi wenu wamewarithisha ujinga watanzaniaKwenye suala la Diaspora na Dual citizen nakumbuka kuna kipindi lilikua linajadiliwa bungeni wabunge wa chama tawala walikua wanatoa macho kukataa mpaka unashangaa halafu hawana hoja za msingi.
Pia Tanzania hatudhamini vipaji vyetu yaani huyo angekua bongo angekua msindikizaji tu maani ni kichwa cha mwendawazimu
Macho yangu au
Ukipigania tupate KATIBA MPYA Hilo lingewezekana!Hiyo ni medali yetu iingizwe kwenye kumbukumbu za taifa.
Ukipata muda naomba unisaidie kujijibuHii bendera inawakilisha nchi gani?
Hii reply yako ndio ya kupeleka kuleUngepeleka jukwaa la vichekesho hii picha
HalisiMacho yangu au
Hapo nimeelewaView attachment 1879058
Ni real apo alipandisha bendera mlima Kilimanjaro
Wakuu Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Tanzania Malaika Mihambo, amelishindia taifa lake medali ya dhahabu katika mashindano ya michezo ya Olimpiki ya long Jump.
Mwanaridha huyo aliruka urefu wa mita saba ili kuchukua ushindi.
Awali Mihambo alikabiliwa na changamoto kadhaa kabla ya mashindano hayo lakini hatimaye alifanikiwa kuonesha umahiri wake.
Katika fainali ya mchezo huo iliofanyika hii leo Jumanne, bi Malaika hakuonesha ishara zozote za kuibuka mshindi.
Urefu wa mita saba alioruka katika jaribio la sita ulimwezesha kuipatia Ujerumani nishani yake ya kwanza ya dhahabu katika mchezo huo tangu Heike Drechsler aliposhinda mwaka 2000.
Nishani ya fedha ilimwendea mshindi mara nne wa mashindano ya dunia na Olimpiki yaliofanyika mjini London Brittney Reese wa Marekani baada ya kuruka mita 6.97 huku Ese Brume wa Nigeria akijinyakulia medali ya shaba na kuiongezea Afrika idadi ya medali katika michezo hiyo.
Sisi Watanzania Tunafail Wapi Kwenye Hili Jambo?
Bara la giza kama kawaida tupo busy kufungulia wapinzani kesi za ugaidi wakati wenzetu wakila maisha huko mambele
Ccm wakiona hiyo picha watasema ametumwa na Mabeberu!! 😁😁😁
Sasa unashindia ugali na bamia ndiyo ushinde Olimpiki!! Sisi ni wasindikizaji tu.Hivi izo olympiki mbona sisi waluguru wenye asili ya kizaramo hatushindagi kila siku ni wagerumani wenye asili ya Tanzania au sweden mwenye asili ya Tanzania tu
watanzania watakimbia kwenye marathon tarehe 7 na 8Hivi wale mnaoangalia Olympics mmeshawaona Watanzania kule Tokyo 2020. Mimi naangalia sana sijamuona hata mbongo mmoja.
ImemchomaHii reply yako ndio ya kupeleka kule
Eti kwa akili zao tukiruhusu uraia pacha kutatokea vita!! Hii nchi ina viongozi wengi Mbulukenge mpaka basi.Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana viongozi wenu wamewarithisha ujinga watanzania
kuwa na uraia pacha hawataki!
nchi yenu ni yakishamba sana.
bora mfe masikini.
Asante sana kaka