Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.
Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.
Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.
Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.