Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Bashiru hawezi thubutu kuongea chochote kwa kipindi hiki maana ndo mtu anayefatiliwa zaidi ya Mbowe, hii ni kwa namna ninavyoona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasbb alipinga kwa nguvu zote bi Tozo asiwe .....Bashiru hawezi thubutu kuongea chochote kwa kipindi hiki maana ndo mtu anayefatiliwa zaidi ya Mbowe, hii ni kwa namna ninavyoona.
Mkuu umevutiwa na jina la mwanasaikolojia?Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe kwa vyovyote vile utakuwa mke wa Bashiru ama Polepole. Maana si kwa povu hilo.Ubunge unatosha..ulitarajia apewe nini zaidi labda.
Yeye aliyemteua kuwa mwenezi ndiye huyohuyo aliyemuondoa hapo si baasi.
Na kama alikuwa na mipango nae angemuingiza cabinet..
sasa hakumteua..
na kutomteua maana yake hakuwa kwny mipango yake. na ndio maana hakuwa first choice.
Sasa kama aliyekuwa mteule wake hakumlundia nyadhifa zaidi.kwann mnalazimisha ionekane polepole ametengwa, mara sijui amekataliwa.
Mlitaka raisi wa sasa afanyeje..tena mkijua amerithi baraza lilelile?
Bashiru hawezi kudumbikia kwenye siasa za uchafu za matopeni ni mtu mpole sana na mwenye hekima ndi maana ameamua kukaa kimya watu waparuane mara tozo , sukuma gani , mara mama analiponya taifa lakini yoyte hayo mwisho ni 2025Huyo mwanasaikolojia uchwara atakuwa anatokea ufipa.
Mtu kaamua kukaa kimya eti ana sonona. Na anaeongea na shida.
Watu hawana jema.
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.
Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na tatizo lijulikanalo kama "rejection or denial disorder. Hali hii humpata mtu anayepingana na uhalisia wa mambo.
Anadai Polepole haamini kama aliyemteua na kumpa madaraka makubwa na kofia 2 hayupo tena duniani na kwamba yeye sasa ni mtu wa kuongozwa badala ya kuongoza.
Hivyo mwanasaikolojia huyo ameshauri Dr. Bashiru na Polepole wasaidiwe kwa kupewa tiba ya kisaikolojia ili waondokane na tatizo hilo.
Hekima gani alishindwa kumshauei Jiwe wakaingia kwneye siasa za kijambazi hadi zikamcost mwenye laana mwendakuzimu yule.Bashiru hawezi kudumbikia kwenye siasa za uchafu za matopeni ni mtu mpole sana na mwenye hekima ndi maana ameamua kukaa kimya watu waparuane mara tozo , sukuma gani , mara mama analiponya taifa lakini yoyte hayo mwisho ni 2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana sonona yule na asipoluwa makini atajiua. Manasaikolojia amewashtua.Huyo mwanasaikolojia uchwara atakuwa anatokea ufipa.
Mtu kaamua kukaa kimya eti ana sonona. Na anaeongea na shida.
Watu hawana jema.
Tatizo sio expression ya disorder bali extent ys expressiom of symptoms.Kwa kifupi mwanasaikolojia anataka pole pole akae kkmya kama bashiru Ili aseme ana Sonona
Lakin pia Bashiru apayuke kama polepole ili aseme ana "mental disorder"
Ni laana walizoshiriki kupora haki za watu zinawatafuna.Mwacheni Pole Pole aongee maana ndio anajiponya, Pole Pole ana tabia zetu wanawake Ili tupone yaliyo moyoni lazima tuongee sana na kila mtu, Bashiru ndio itamchukua mda kupona maana ina mkula ndani kwa ndani
huyo mbona nimemzidi taaluma.Usiibagaze taaluma ya mtu wewe wa Kalelambwanda.
Tunafahamu CCM kumejaa wajinga kwa mujibu wa TWAWEZA
View attachment 2034311
HAkuna lolote. Mwanasaikolojia njaa tu.Ana sonona yule na asipoluwa makini atajiua. Manasaikolojia amewashtua.
Lile jukwaa limekukolea madam...! Huku tunasema 'kumla' kule ndio tunatumia 'kumkula'Mwacheni Pole Pole aongee maana ndio anajiponya, Pole Pole ana tabia zetu wanawake Ili tupone yaliyo moyoni lazima tuongee sana na kila mtu, Bashiru ndio itamchukua mda kupona maana ina mkula ndani kwa ndani
Mkuu wewe ni mgeni Tanzania?Bashiru hawezi kudumbikia kwenye siasa za uchafu za matopeni ni mtu mpole sana na mwenye hekima ndi maana ameamua kukaa kimya watu waparuane mara tozo , sukuma gani , mara mama analiponya taifa lakini yoyte hayo mwisho ni 2025
Sent using Jamii Forums mobile app