Mwanasaikolojia: Dr. Bashiru asaidiwe atoke kwenye sonona. Na Polepole asaidiwe atoke kwenye rejection

Kwa kifupi mwanasaikolojia anataka pole pole akae kkmya kama bashiru Ili aseme ana Sonona

Lakin pia Bashiru apayuke kama polepole ili aseme ana "mental disorder"
Anataka wawe katika hali ya wastani. Yaani wasikae kimya saana na wasiongee saana. Kumbuka Too Much of Anything is Harmful.
 
Dr.bashiru hakuwa mwanasiasa. Hata kama alijidai kuwa mwanasiasa kinadharia hakuwa na chochote alichokisimamia. Kiitikadi hata magufuli pia. Aliamini kwamba ukitenda unapendwa
 
Dr.bashiru hakuwa mwanasiasa. Hata kama alijidai kuwa mwanasiasa kinadharia hakuwa na chochote alichokisimamia. Kiitikadi hata magufuli pia. Aliamini kwamba ukitenda unapendwa
Miaka mitano iliyopita nchi haukuwa na uongozi. Tulipigwa
 
Chakubanga alifanywa hivi tarehe 17, Machi, 2021..........



Hatokuja kuisahau hiyo siku, ningekuwa Mchawi ningemroga jinga yule, Wametutesa sana kwa miaka 5 na washamba wenzake, Kosa halitokuja rudiwa tena.
 
Dah nimecheka kimyakimya,kazi za siasa kwakweli inatakiwa kila wakati uwe umejiandaa kisaikolojia,anything can happen at anytime,na hasa kwenye hizi nafasi za uteuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…