GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji.
Huku akichagizwa na Mtangazaji Mrembo wa Kike kwa sasa nchini Tanzania 'Mmaasai' Farhia Middle kutoka ITV akiwa na Mtangazaji aliyegoma 'Kuzeeka' japo Umri umeshaenda Aboubakary Sadick huku Balozi wa Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho kizuri GENTAMYCINE nikisikiliza Mwanasaikolojia huyu ameeleza Kitu cha 'Kiutaalam' kabisa ambacho wengi wetu tulikuwa hatukijui.
Ni kwamba Mwanasaikolojia huyu ( huyo ) Dkt. Charity Xavery kasema kwamba Mwanamke yoyote 'akimchiti' Mpenzi wake ile Dhambi ya Nafsi ( Feeling Guilty ) humtesa Moyoni kwa Siku Tisini ( 90 ) na kwa Sisi Wanamume 'hututesa' tu kwa Saa ( Masaa ) Kumi na Mbili ( 12 ) baada hapo tunasahau na Kuendelea kutafuta 'Mbunye' zingine ili 'tuzibandue' vizuri.
Hivyo basi kupitia Ukweli Mchungu huu wa Kitaalamu kabisa kutoka kwa Mwanasaikolojia huyu niwaombe tu Wanawake wote duniani kuwa acheni Kushindana na Sisi Wanaume katika 'Kuchitiana' kwani mnaoumia na mpaka 'Kuathirika' zaidi ni nyie na Sisi 'tunapeta' zetu tu.
Na Mwanasaikolojia huyu ( huyo ) Dkt. Charity Xavery kasema Wanawake wengi 'Wakiwachiti' Wapenzi wao huwa ni wepesi Kugundulika kwa Wanaume tofauti ambapo huwa ni ngumu kwa Wanaume 'Kushtukiwa' na Wanawake kutokana na kwamba Kiasili Wanaume tumeumbiwa Ujanja na Usanii wa Kucheza na Akili za Jinsia ya Kike.
Nimalize tu kwa kusema kama kuna Kipindi kizuri, kitamu na cha Kuelimisha ambacho mwana JamiiForums yoyote yule hapaswi Kukikosa Kukisikiliza basi ni hiki cha Mazungumzo ya Familia kutoka Radio One kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi.
Ni Kipindi ambacho Kinatatua Changamoto zote za Kimahusiano ( Kimapenzi ) na ndani yake huwa kuna Visa na Vituko vingi ambavyo 'hunogesha' Kipindi na utatamani hata kisiishe mapema ili uendelee tu Kuburudika na Kuelimika nacho.
Radio One mbarikiwe sana tu kwa kuja na Kipindi hiki Kizuri cha Mazungumzo ya Familia kwani kina Matokeo Chanya kwa Sisi Wasikilizaji 'tukuka' wenu wakiongozwa nami Balozi wenu wa Kujiteua Mwenyewe GENTAMYCINE.
Kimetusaidia zaidi na hata Kutubadilisha 'Kimtizamo' Sisi wengine ambao kiukweli tumetenda Dhambi nyingi sana kwa Wapenzi Wetu ikiwemo Kuwadanganya, Kuwanyanyasa, Kuwatesa, Kuwapiga na hata wakati mwingine Kuwachimbisha Mitaro ya kuelekea Barabara mpya na Tamu ya kwa Mpalange.