Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Ndg members wote, habari za wakati huu? Ofcoz ni nzuri.
bila kupoteza muda, kama unafahamu chochote kuhusu tatizo hili, naomba neno lako la hekima ukinishauri;
Tatizo langu ni hasira za mara kwa mara!
ndg zangu, baada ya kugundua kuwa nina tatizo hili, nimejitahidi kufanya mazoezi ili kuondokana nalo lakini sijafaulu!
huwa ninakereka sana ninapofanya maamuzi magumu yakiongozwa na tatizo hili, naliita tatizo kwa sababu ni tatizo kweli (limeshanigharimu)
si jambo dogo, wala kubwa linalonijaza hasira; naweza kufanya jambo na baada ya mda kidogo nakuwa mnyonge ninapohisi nimefanya lisilo jema sababu "hasira"
watu wananishangaa sana, namm kuna wakati nahisi hatia sana (japo sijionyeshi)
ok nisiandike sana mpaka nikakera...
nafikiri nimeshaeleweka.
Je, nifanye nini kulidhibiti tatizo hili?