Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
"Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia.

Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia ( hasa wa Masuala mazima ya Mahusiano na Mapenzi ) ila kwa hili la huyu Mwanasaikolojia na ninayokutana nayo kutokana na Maisha yangu mengi ni ya Kujichanganya na Watu ( Jamii ) ninakubaliana nae tena 100% kabisa.

Ngoja nijiandae zangu sasa Kutembea kwa Miguu baadae kutoka Bunju mpaka Tandika na Tandika kureje Bunju ambapo nitapitia Kuwakodolea ( Kuwatizana ) Wanaume wapenda Gym Mwenge kisha nimalizie kwa Kuwaonea Huruma Wake / Wapenzi wao.
 
Labda kama unapiga gym isiyo na mpangilio, kutembea utatumia masaa zaidi ya matatu unazurura huku na huko mithili ya mbwa mwenye kichaa wakati gym nusu saa tu unakuwa fiti unaendelea na mambo mengine....
 
Nguvu za Kiume hazina Matembezi wala Kubeba chuma,... Wadada + Wamama wanaohangaikia Uzazi wanalingana idadi na Vijana + Wazee wanaotafuta suluhisho la Nguvu za kiume...
 
Labda kama unapiga gym isiyo na mpangilio, kutembea utatumia masaa zaidi ya matatu unazurura huku na huko mithili ya mbwa mwenye kichaa wakati gym nusu saa tu unakuwa fiti unaendelea na mambo mengine....
Binti anaanza kusuguliwa akiwa darasa la sita,mpaka anamaliza la saba,mashine imeishazoea,anaingia sekondari anakutana na pipe za waalimu wake,anapigwaaa weeee,akimaliza sekondsry anaingia chuo,huko ndio balaaa,anatandikwa na boy friend,Mwalimu wake,sponsor,mpaka anakuja kuolewa lidude limeishatanuka balaa limezoea pipe za kila aina,harafu huyu ndio mwanamke unataka umlizishe!!!c mon guys let's be serious,there is more to live for than fucking.
 
Kwenye kizazi cha nyoka huwezi kupata kitu orijino, binti kutunza bikira yake nafikiri imebaki kwenye masimulizi ya enzi hizo.....
 
Sio busta kijana nielewe
hiyo ni kama gari unawasha na mkongo ni mafuta hivyo safari inakuwa ndefu

Ikiisha unapaka tena kijana
acha ujinga okoa ndoa
Unapatikana wapi..
 
Binti anaanza kusuguliwa akiwa darasa la sita,mpaka anamaliza la saba,mashine imeishazoea,anaingia sekondari anakutana na pipe za waalimu wake,anapigwaaa weeee,akimaliza sekondsry anaingia chuo,huko ndio balaaa,anatandikwa na boy friend,Mwalimu wake,sponsor,mpaka anakuja kuolewa lidude limeishatanuka balaa limezoea pipe za kila aina,harafu huyu ndio mwanamke unataka umlizishe!!!c mon guys let's be serious,there is more to live for than fucking.
Tumia mkongo wewe
 
We hujautafuta ndo maana unauliza maswali hayo
ukiwa unautaka utaupata
usione aibu
watu hawatumii viagra siku hizi
Toa connection ya mkongo wewe acha longolongo........
 
Binti anaanza kusuguliwa akiwa darasa la sita,mpaka anamaliza la saba,mashine imeishazoea,anaingia sekondari anakutana na pipe za waalimu wake,anapigwaaa weeee,akimaliza sekondsry anaingia chuo,huko ndio balaaa,anatandikwa na boy friend,Mwalimu wake,sponsor,mpaka anakuja kuolewa lidude limeishatanuka balaa limezoea pipe za kila aina,harafu huyu ndio mwanamke unataka umlizishe!!!c mon guys let's be serious,there is more to live for than fucking.
Unatumia kinywaji gani mkuu?

Kunywa popote pale nitakuja kulipa.
Bonge la c'ment
 
Back
Top Bottom