Haisaidii. Anaanguka kamanda anainuka kamanda mapambano yanaendelea.
Jeshi la watu milioni 1, huwezi kulishinda kwa kuua jenerali
Kaka, tani 5 au 5000? Hebu edit hapo tafadhariYes Isfahan imepigwa tena na tena huwa wanashusha mabomu yenye tani 5,000
Hao wanauawa ili kuchelewesha chain of command na kuipa fursa Israel kulipua zaidi hayo madude ambayo waislamu walitegemea kutumia kuifuta Israel.
Kwa ufahamu wake, huko Iran Ayatullah yupo mmoja tu!Haisaidii. Anaanguka kamanda anainuka kamanda mapambano yanaendelea.
Jeshi la watu milioni 1, huwezi kulishinda kwa kuua jenerali
Adiosamigo na gallow bird walipo huko ni mwendo wa kimba kugongagonga boxer.Hao wanauawa ili kuchelewesha chain of command na kuipa fursa Israel kulipua zaidi hayo madude ambayo waislamu walitegemea kutumia kuifuta Israel.
Huyo kichaa si bdio huyo huyo ana majina 30+ unategemea nini watu kama hso bdio sababu Kenya hakuishi matatizo si una ona akili zao.Jongo hili
Eti kinu cha nyuklia kimelipuliwa🤣🤣😄
...
Jwani urutubishaji umeshazidi 80%?Kinu cha nyuklia kinalipuliwa alafu hamna mionzi 🤣🤣🤣
Jitahidi ukiwa muongo kama netapaka uwe na kumbukumbu basi
Israel is a threat to world peace.Katika muendelezo wa kuikomboa Israel kutokana na tishio la kufutwa kwenye ramani ya dunia, inaendelea kuhakikisha watakaobaki Iran hawatawahi kuwa na wazo kama hilo, hii itakua funzo pia kwa mataifa mengine yote ya waislamu, wakubali kuishi na watu kwa amani, acheni chokochoko dhidi ya dunia.
Kwa sasa Israel wasijali sana Iran kupiga apartments za wananchi, hiyo itumike kama gharama, ikumbukwe Israel imewahi kulipa gharama kama hizo tangu enzi za manabii.....
Saturday's strikes on Iranian territory by Israel have killed a nuclear scientist and a number of Iranian Air Defense personnel and Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) personnel, according to reports.
Iranian nuclear scientist Isar Tabatabai-Qamsheh and his wife were killed in an Israeli strike on Saturday, Mehr News Agency reported.
15 Iranian Air Defense officers and soldiers were killed in Israeli airstrikes, according to a report by Iranian state media Nournews.
Several military officials killed in weekend strikes
These include two brigadier-generals, five colonels, three first-lieutenants, one third-lieutenant, and four conscripts.
The IRGC later said that five of its members were also killed in Israeli attacks on Saturday, but in Khorramabad in western Iran.
This is a developing story.
Israel strikes Iranian nuclear scientist, IRGC and air defense personnel | The Jerusalem Post
The IRGC later said that five of its members were also killed in Israeli attacks on Saturday, but in Khorramabad in western Iran.www.jpost.com
Haisaidii. Anaanguka kamanda anainuka kamanda mapambano yanaendelea.
Jeshi la watu milioni 1, huwezi kulishinda kwa kuua jenerali
Wairan wameunda jeshi lao kusustain vita ya muda mrefu, kwa hiyo scenarios kama hii wameishaifanyia plan. Ndo maana unaona kuwa Licha ya Israel kuua makamanda wengine, bado Iran inatoa show ya kichapo Tel Aviv