Mwanasayansi , Mabrigadia na makanali kadhaa wa Iran, wauawa kinu cha nyuklia pia chalipuliwa

Mwanasayansi , Mabrigadia na makanali kadhaa wa Iran, wauawa kinu cha nyuklia pia chalipuliwa

Katika muendelezo wa kuikomboa Israel kutokana na tishio la kufutwa kwenye ramani ya dunia, inaendelea kuhakikisha watakaobaki Iran hawatawahi kuwa na wazo kama hilo, hii itakua funzo pia kwa mataifa mengine yote ya waislamu, wakubali kuishi na watu kwa amani, acheni chokochoko dhidi ya dunia.
Kwa sasa Israel wasijali sana Iran kupiga apartments za wananchi, hiyo itumike kama gharama, ikumbukwe Israel imewahi kulipa gharama kama hizo tangu enzi za manabii.....

Saturday's strikes on Iranian territory by Israel have killed a nuclear scientist and a number of Iranian Air Defense personnel and Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) personnel, according to reports.

Iranian nuclear scientist Isar Tabatabai-Qamsheh and his wife were killed in an Israeli strike on Saturday, Mehr News Agency reported.

15 Iranian Air Defense officers and soldiers were killed in Israeli airstrikes, according to a report by Iranian state media Nournews.

Several military officials killed in weekend strikes ​

These include two brigadier-generals, five colonels, three first-lieutenants, one third-lieutenant, and four conscripts.
The IRGC later said that five of its members were also killed in Israeli attacks on Saturday, but in Khorramabad in western Iran.
This is a developing story.
Mimi huwa nawaza tu mahitaji ya wananchi yanavyokua mengi inakuwaje taifa liweke kipaumbele cha kulifuta taifa jingine kwenye uso wa dunia? Yaani dunia inashida nyingi zinazoweza kukutajirisha na wananchi wako wakaishi kwa raha ila unawekeza kwenye silaha ili ulifite taifa jingine duniani🚮🚮🚮🚮
 
Lakini gharama hoye hii ya nini? Kwa nini Iran isiwakubali wayahudi kuwa ni binafamu kama wao, na hivyo wana haki ya kuishi kama jamii nyingine yoyote? Hivi kweli inaingia akilini kuwa maneno ya mtume kuwa wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani, wanaamini yalikuwa ni Mungu wa kweli? Mumgu ambaye tu aamimi hashindwi lolote, kama hakutaka wayahudi wawepo Duniani, angeshindwa nini kuwaondoa mpaka akawaondoe kwa mkono wa Ayatollah?

Kuangamia kwao hao wa Iran, labda Mungu anataka kuwathibitishia Wairan kuwa hilo agizo alilolipokea mtume, la kuwa Wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani, lilitoka kwa shetani, na siyo Mungu wa kweli.
Umeongea point sana ila wanadini watakuja kukutukana mkuu.
 
alijifanya kiherehere kuitetea palestina kwa chuki binafsi sasa amefikiwa atavuna alichopanda.
 
Wairan wameunda jeshi lao kusustain vita ya muda mrefu, kwa hiyo scenarios kama hii wameishaifanyia plan. Ndo maana unaona kuwa Licha ya Israel kuua makamanda wengine, bado Iran inatoa show ya kichapo Tel Aviv
Maajabi gani haya ya kujiandaa kuuliwa na sio kuwaua wauaji wenu ili wasiwauwe!
 
Hao wanauawa ili kuchelewesha chain of command na kuipa fursa Israel kulipua zaidi hayo madude ambayo waislamu walitegemea kutumia kuifuta Israel.

Ni nini haswaa kinakufanya usapoti mashoga+Magaidi?

Walichofanya Gaza wameuwa maelfu ya watoto, wazee na wamama bado tu unasapoti hao wauwaji badala ya Iran! Aise mna roho ngumu sana enyi msio na dini
 
Haisaidii. Anaanguka kamanda anainuka kamanda mapambano yanaendelea.

Jeshi la watu milioni 1, huwezi kulishinda kwa kuua jenerali
The deaths of the key military officers have a negative impact on the morale of the surviving combatants and this is obvious in many battles as the history can attest.
 
Ni nini haswaa kinakufanya usapoti mashoga+Magaidi?

Walichofanya Gaza wameuwa maelfu ya watoto, wazee na wamama bado tu unasapoti hao wauwaji badala ya Iran! Aise mna roho ngumu sana enyi msio na dini
Dini haiingizi mtu mbinguni hizi ni siasa tu za hapa duniani na ukienda kwa Mungu wala hutaona kitu kinaitwa dini.
 
Back
Top Bottom