Mwanasayansi , Mabrigadia na makanali kadhaa wa Iran, wauawa kinu cha nyuklia pia chalipuliwa

Mimi huwa nawaza tu mahitaji ya wananchi yanavyokua mengi inakuwaje taifa liweke kipaumbele cha kulifuta taifa jingine kwenye uso wa dunia? Yaani dunia inashida nyingi zinazoweza kukutajirisha na wananchi wako wakaishi kwa raha ila unawekeza kwenye silaha ili ulifite taifa jingine duniani🚮🚮🚮🚮
 
Umeongea point sana ila wanadini watakuja kukutukana mkuu.
 
alijifanya kiherehere kuitetea palestina kwa chuki binafsi sasa amefikiwa atavuna alichopanda.
 
Wairan wameunda jeshi lao kusustain vita ya muda mrefu, kwa hiyo scenarios kama hii wameishaifanyia plan. Ndo maana unaona kuwa Licha ya Israel kuua makamanda wengine, bado Iran inatoa show ya kichapo Tel Aviv
Maajabi gani haya ya kujiandaa kuuliwa na sio kuwaua wauaji wenu ili wasiwauwe!
 
Hao wanauawa ili kuchelewesha chain of command na kuipa fursa Israel kulipua zaidi hayo madude ambayo waislamu walitegemea kutumia kuifuta Israel.

Ni nini haswaa kinakufanya usapoti mashoga+Magaidi?

Walichofanya Gaza wameuwa maelfu ya watoto, wazee na wamama bado tu unasapoti hao wauwaji badala ya Iran! Aise mna roho ngumu sana enyi msio na dini
 
Haisaidii. Anaanguka kamanda anainuka kamanda mapambano yanaendelea.

Jeshi la watu milioni 1, huwezi kulishinda kwa kuua jenerali
The deaths of the key military officers have a negative impact on the morale of the surviving combatants and this is obvious in many battles as the history can attest.
 
Ni nini haswaa kinakufanya usapoti mashoga+Magaidi?

Walichofanya Gaza wameuwa maelfu ya watoto, wazee na wamama bado tu unasapoti hao wauwaji badala ya Iran! Aise mna roho ngumu sana enyi msio na dini
Dini haiingizi mtu mbinguni hizi ni siasa tu za hapa duniani na ukienda kwa Mungu wala hutaona kitu kinaitwa dini.
 
#Operation rising lion🦁

God bless Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…