Mwanasayansi mwingine wa nyuklia auliwa katika mashambulizi ya anga ya Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni Mwanasayansi mwingine wa nyuklia aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, afisa wa eneo hilo anasema Mwanasayansi mwingine wa nyuklia wa Iran, Ali Mansour Bakouei, ameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, gavana mkuu wa jimbo la Mazandaran nchini Iran alitangaza., taarifa kamili hapo chini kwa kimombo,1 hour ago
Another nuclear scientist killed in Israeli airstrikes, local official says

Another Iranian nuclear scientist, Ali Mansour Bakouei, has been killed in the Israeli airstrikes, the governor-general of Iran's Mazandaran province announced
 
Attachments

  • Screenshot_2025_0614_212606.jpg
    Screenshot_2025_0614_212606.jpg
    124.5 KB · Views: 39
Wadau hamjamboni Mwanasayansi mwingine wa nyuklia aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, afisa wa eneo hilo anasema Mwanasayansi mwingine wa nyuklia wa Iran, Ali Mansour Bakouei, ameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, gavana mkuu wa jimbo la Mazandaran nchini Iran alitangaza., taarifa kamili hapo chini kwa kimombo,1 hour ago
Another nuclear scientist killed in Israeli airstrikes, local official says

Another Iranian nuclear scientist, Ali Mansour Bakouei, has been killed in the Israeli airstrikes, the governor-general of Iran's Mazandaran province announced
Hii vita Iran imepoteza yaani ni kama Israel ndio anatawala anajua nani Yuko wapi wamfuate .

Sasa Nchi imejaa majasusi wa Israel watawezaje Sasa kupigana?

View: https://x.com/spectatorindex/status/1933768298677875084?t=1saaQmWWeDUMq_VS5WbYrg&s=19
 
Kwa sasa huko Iran, ukiwa mtaalam bingwa wa nyuklia au kamanda mkubwa wa jeshi la Iran, au kiongozi wa juu wa Iran, uhai unakuwa upo mashakani. Nila shaka ndani ua jamii ya Wairan, kuna watu wengi hawautaki utawala wao, ndiyo maana inawasaidia waisrael katika kuwapata watu wanaotafutwa kuuawa.
 
Duh hii vita sio nzuri kabisa, hata mpaka sasa sijui kosa la Iran ni lipi! na kwanini anapigwa! Sera za kimataifa zipoje ina maana kuna mataifa yanaruhusiwa kuwa na nyuklia na mengine hayaruhusiwi kuwa nyuklia au mi ndo sielewi wadau
 
kosa la iran ka mdomo ka kutaka kuifuta israel ndio kosa lilianzia hapo

kabla hajaanza mikakati ya nuke alisemaga atakuja kuifuta israel

umeelewa kwanini haruhusiwi kuwa na nuke
 
Kwa sasa huko Iran, ukiwa mtaalam bingwa wa nyuklia au kamanda mkubwa wa jeshi la Iran, au kiongozi wa juu wa Iran, uhai unakuwa upo mashakani. Nila shaka ndani ua jamii ya Wairan, kuna watu wengi hawautaki utawala wao, ndiyo maana inawasaidia waisrael katika kuwapata watu wanaotafutwa kuuawa.
Inaonekana MOSSAD wametapakaa Iran yote kwa muda mrefu sana, sasa wanakamilisha operation raising Lion.
 
Back
Top Bottom