Umeandika au unaharisha?MWANASHERIA ASIYE NA AKILI KABISA ANAULIZA MASWALI UTAFIKIRI HANA AKILI WATU WALISHAPEWA TAARIFA VITU VYA KUREKEBISHA WAMEKOMAZA MAFUVU WAKIJIONA KAMA WAO WAKO JUU YA SHERIA ZA MSAJIRI HALAFU MWANASHERIA MAVI ANAKUJA KUSEMA WALIPEWA TAARIFA? YAAANI BADO UNASAFARI NDEFU SANA KWA WANASHERIA WA UPINZANI WA AKILI ZA HUYU MBURULA
Wao na Jissu wao, si wamedai wataendesha chama kwa tone tone!! Sasa wanalia nini?? Ha ha ha ha!MWANASHERIA ASIYE NA AKILI KABISA ANAULIZA MASWALI UTAFIKIRI HANA AKILI WATU WALISHAPEWA TAARIFA VITU VYA KUREKEBISHA WAMEKOMAZA MAFUVU WAKIJIONA KAMA WAO WAKO JUU YA SHERIA ZA MSAJIRI HALAFU MWANASHERIA MAVI ANAKUJA KUSEMA WALIPEWA TAARIFA? YAAANI BADO UNASAFARI NDEFU SANA KWA WANASHERIA WA UPINZANI WA AKILI ZA HUYU MBURULA
Mtu anayeandika " mpk, ht, hv", huyo ni wale wa kundi la kujua kusoma na kuandika, yaani elimu ya msingi.We zombie utangulie kujitambulisha, we umeishia la ngapi mpk uwe ngumbaru hivyo
Wanajifanya wajuaji.Wameambiwa akidi haijatimia wabishi kwelikweliMWANASHERIA ASIYE NA AKILI KABISA ANAULIZA MASWALI UTAFIKIRI HANA AKILI WATU WALISHAPEWA TAARIFA VITU VYA KUREKEBISHA WAMEKOMAZA MAFUVU WAKIJIONA KAMA WAO WAKO JUU YA SHERIA ZA MSAJIRI HALAFU MWANASHERIA MAVI ANAKUJA KUSEMA WALIPEWA TAARIFA? YAAANI BADO UNASAFARI NDEFU SANA KWA WANASHERIA WA UPINZANI WA AKILI ZA HUYU MBURULA
Sisiemu kila kona kuna watu wao lengo kudhoofisha chadema, sasa basi Chadema itasimama na ruzuku mtatoaView attachment 3348624
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Kufuatia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kusimamisha ruzuku kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwanasheria na wakili, Edson Kilatu amehoji maswali 10 akitaka kuzingatiwa kwa Sheria ya vyama vya Siasa ya 1992.
Soma pia: Msajili asitisha ruzuku ya CHADEMA
Ameanza kujenga hoja yake katika kifungu cha 18 (6) cha Sheria ya vyama vya Siasa kama ifuatavyo:
"Msajili anaweza kusitisha utoaji wa ruzuku kwa chama cha kisiasa kwa kipindi maalum endapo atakuwa na ushahidi kwamba uongozi wa chama hicho cha kisiasa, ukiwemo wadhamini wake, hauwezi kuhesabu au kusimamia uwajibikaji wa fedha."
Maswali
Kwanza, mkaguzi wa hesabu za chama ambaye ndo mwenye mamlaka kukagua hesabu amekagua lini hesabu za chama ili kumpa ushahidi juu ya uongozi wa chama au wadhamini kushindwa kusimamia hesabu fedha au kuwajibika katika fedha?
Pili , je Msajili anajua kuwa mali za chama ikiwa ni pamoja na fedha ni mali ya wadhamini na ambao wanasajiliwa kama taasisi ya kisheria( legal person) ?
Tatu , je Msajili alifanya mawasiliano na kuwapa nafasi wadhamini ambao kimsingi ndo wenye fedha kujiekeza( right to be heard) juu ya kushindwa kwao kusimamia uwajibikaji katika mahesabu huku akiwaoa msingi wa tuhuma( basis of accusation ) juu yao?
Nne, je Msajili alikiandika chama kujiekeza juu ya tuhuma za kusitisha ruzuku na kuwapa na kuwaeleza kama wasiporekebisha hizo kasoro wanasitishiwa ruzuku?
Tano, je Kwa mujibu wa sheria Msajili asipotambua uongozi Mpya chama kinabaki hakina uongozi( leadership vacuum) au kwamba uongozi yliokuwepo ungeendelea Kwa kipindi cha kutosha( reasonable time) Hadi nafasi zizibwe?
Sita, je Msajili anayejua kuwa Baraza kuu la chama Lina zaidi ya wajumbe 400 aliwapa CHADEMA muda Gani kuitisha Baraza Hilo kana wangeona kuna hoja hiyo?
Saba, je Msajili ana mamlaka ya kutengua uteuzi wa viongozi wa chama Kwa mujibu wa sheria!
Nane, je kutenguliwa Kwa viongizi hawa ni sababu Kwa ya kusitisha ruzuku Kwa mujibu wa sheria?
Tisa, je alichofanya Msajili hata ingekuwa halali siyo double Jeopardy( yaani kuadhibu mara mbili) kwanza Kwa kufuta uongozi na pili kusitisha ruzuku?
Kumi, Kwa nini Msajili alibariki uongozi wa CUF ya Lipumba kuendelea kutumia ruzuku ya chama wakati katibu mkuu na sekretariati yote haikuwepo tena katikati ya mgogoro ila Kwa CHADEMA ambao hawana mgogoro amefanya maamuzi haya?
Sasa naomba Kwa kifupi kuelezea hoja kama ifuatavyo:
Kwanza napenda kubainisha kuwa Moja ya kigezo cha muhimu cha kusitisha ruzuku ni lazima Msajili awe na ushahidi( evidence) na siyo maoni TU( opinion) kuwa Uongozi wa chama pamoja na Baraza la wadhamini limeshindwa kuwajibika kwenye hesabu na au matumizi ya fedha za chama.
Ni dhahiri kwamba hapa hoja siyo uwezekano wa kushindwa kuwajibika ( yaani likelihood) bali ushahidi wa kushindwa huko. Sawa swali muhimu Msajili ametumia kigezo gani chenye ushahidi kuwa CHADEMA imeshindwa kusimamia uwajibikaji kwenye mahesabu na au taratibu za kifedha.
Najua anaweza akileta hoja kwamba Kwa sababu sekretariati imetenguliwa! Sawa tujifanye imetenguliwa haipo kweli. Swali la muhimu je vipi wadhamini wameshindwa pia?.
Tena hapa naomba kusisitiza kuwa Kwa mujibu wa washeria ya usajili wa wadhamini(yaani the Trustees incorporation Act) mali zote za chama pamoja na fedha zipo chini ya wadhamini. Nikumbushe Msajili kwamba Sheria inapotumia maneno " management of political party which includes trustees " ( yaani uongozi ukihusisha bodi ya wadhamini) ililenga kwamba Ili ruzuku isitishwe ni lazima pande mbili za chama Kwa maana ya ngazi ya utendaji( secretariat) na wadhamini wawe wamethibitika kwamba wameshindwa kusimamia uwajibikaji katika maswala ya fedha .
Kwa maneno mengine pasipo kuwa na uthibitisho kwamba wadhamini pia wameshindwa maamuzi ya Msajili yanakosa uhalali.
Ni muhimu Msajili apate muda kujikumbusha kanuni za kutafsiri Sheria (canons of interpretation) ambazo zingemsaidia kujua hayo maneno" which includes" kwamba hayo masharti yanaenda pamoja siyo kwamba Moja ni mbadala( not disjunctive).
Katika mazingira haya uhalali wa maamuzi unatoka wapi. Naomba Msajili soma andika hili uelewe badala ya kusoma ili ujibu Kwa sababu ukisoma Kwa lengo la kujibu hutaelewa na utashindwa kulinda weledi. Nina machapusho mengi naweza kuipa ofisi Yako hasa wasaidizi wako na mbali na hayo nipo tayari kushiriki kuwajengea uwezo wasaidizi wako juu ya kutafsiri Sheria ili kulinda hadhi ya ofisi hii nyeti ambayo naamini inaweza kufanya vizuri pamoja na mapungufu ya Sheria hasa kukosa uhuru( autonomy) badala ya kutumikia weledi( professionalism) na Katiba.
Lakini pia msajili anatakiwa kujua kuwa kuna kanuni inaitwa " management vaccun' ambayo hairuhusu kiti cha utendaji kikae wazi hata siku Moja Kwa sababu Kwa kufanya hivyo unapelekea taasisi kushindwa kujiendesha ( organization paralysis) jambo ambalo pia ni kinyume na malengo ya kuanzishwa ofisi ya Msajili chini ya kifungu cha 4 cha Sheria ya vyama vya Siasa,1992 ambayo inakusudia USTAWI wa vyama vingi ambavyo ndo vinatambulisha nchi yetu kwenye ibara ya 3 ya Katiba ya Tanzania.
Kwa hiyo wakati Msajili anatengua watendaji ( hata kama najua hana mamlaka) alitakiwa atoe maelekezo sekretariati uliyokuwepo ukiondia waliohana ielendelee Kwa kipindi cha kutosha kuitisha MKUTANO MKUU wa chama ambao unaweza kutengua maamuzi ya Baraza kuu pakiwa na sababu.
Jambo ambalo lingehitaji muda mrefu na gharama. Bahati mbaya Msajili ameamini kufuta uongozi na kuacha vaccum ambayo itapelekea chama" ki paralyze" Kwa lugha ya kawaida.
Ebu jiulize katika mazingira ambayo secretariat imefutwa bila kuweka utaratibu wowote ( management vaccum) ni nani anaitisha kikao Kwa mujibu wa Katiba? Pili Kwa vile Sasa na ruzuku imesitishwma chama kinapata wapi fedha za kuitishia Baraza kuu au MKUTANO MKUU?. Kiufupi ni kwamba msajili amefanya maamuzi ambayo hayatekelezeki( yaani unamkata miguu mwanariadha na utake akimbie).Hili ni swala akili ya kawaida TU( common sense). Je nini lengo la Msajili! Amri itekelezeke au chama ki paralyse?
Aidha, katika kufikia maamuzi haya ambayo yanaadhili haki ya kisheria na kikatiba Msajili alitakiwa kuwaandikia kusudio la kusitisha ruzuku chini ya kifungu 18(6) cha Sheria ya vyama vya Siasa akibainisha sababu na ushahidi ili kuwapa nafasi ya kujitetea( show cause) ambalo ni hutaki la kikatiba chini ya ibara 13(6) ( a) ya Katiba ya Tanzania, 1977 na ni takwa la misingi ya asili ya utoaji haki( natural justice).
Najua hili ni jambo ambalo Msajili ambaye ni jaji wa mahakama kuu anajua labda TU Kwa vile ni mdamrefu hayupo kwenye mahakama anaweza kuwa ameanza kusahau.
Nitumie fursa hii kumjumbusha yeye binafsi na hasa wasaidizi wake waendelee kujisomea ili kujikumbusha hizi dhana mhimu za utoaji haki.
Kuna hili la kutoa adhabu mara mbili pia. Chama kimeadhibiwa Kwa kufuta uongozi ( bila kuonyesha mamlaka hayo yapo kifungu Gani) lakini pia msajili anasitisha ruzuku Kwa hoja hiyo hiyo .
Aidha tunapenda kujiuliza Kwa nini Msajili hakuna shida kuipa CUF ya Lipumba ruzuku katikati ya mgogoro na ili hali akijua hayati Maalimu Seif na sekretariati Yao yote ulikuwahaipo ofisini na hakuna kama uongozi ungeshindwa kusimamia uwajibikaji katika maswala ya fedha?
Hili Lima leta tafsiri Gani Kwa anayefuatilia maamuzi ya ofisi ya Msajili? Je Msajili haoni hatari ya kubadilikabadilima( inconsistencies)?
HITIMISHO
Kwa mfumo na namna ofisi ya Msajili inavyoendeshwa USTAWI wa siasa ya vyama vingi utabaki ndoto. Sheria na mazingira vinafanya mkunga awe mnyongaji badala ya mzalushaji.
Huna akili.MWANASHERIA ASIYE NA AKILI KABISA ANAULIZA MASWALI UTAFIKIRI HANA AKILI WATU WALISHAPEWA TAARIFA VITU VYA KUREKEBISHA WAMEKOMAZA MAFUVU WAKIJIONA KAMA WAO WAKO JUU YA SHERIA ZA MSAJIRI HALAFU MWANASHERIA MAVI ANAKUJA KUSEMA WALIPEWA TAARIFA? YAAANI BADO UNASAFARI NDEFU SANA KWA WANASHERIA WA UPINZANI WA AKILI ZA HUYU MBURULA
No Reforms! No Elections!View attachment 3348624

Kama ambavyo huyo msajili alimuondoa James Mbatia NCCR-Mageuzi kwa figisu za CCM, na leo mahakama imetengua maamuzi yake, vivyo hivyo na kwa Chadema hawezi toboa. Chadema ni imani, chadema ndo tumaini pekee lililobaki kwa Tanzania huru, Tanzania ambayo rasilimali zake zitawanufaisha watu wake na sio watawala na machawa wake kama weweMbona huyu anayejiita wakili ni kama ameandika porojo mtupu. Ni mwanasheria kweli wa chadema? Yaani anataka akamfundishe sheria Jaji Mtungi na wasaidizi wake?
Msajili hakufuta kamati tendaji ya chadema. Malalamiko yalifikishwa kwake na Bw. Mchome kwamba kamati hiyo ilijiingiza madarakani kwa njia zilizo kinyume na katiba ya chama cha chadema. Kwa mjibu wa katiba ya chama akidi ya baraza kuu la chama la kuteuwa wajumbe hao ni asilimia 75%. Akidi ya baraza kuu lililowateua hawa waliopo ilikuwa ni 45% tu wakiwemo ambao si wajumbe wa baraza kuu hilo. Upande wa walalamikiwa wakiwemo John Mnyika na Heche walikubali suala hilo.
Hivyo msajili aliamua hiyo kamati tendaji iliyopo si halali na haitambuliki kwa mjibu ya katiba ya chama chao. Alielekeza chama hicho kiitishe mkutano wa baraza kuu haraka iwezekanavyo ndani ya mwezi mmoja kuhalalisha hiyo kamati tendaji.
Chama kilikaidi maelekezo hayo. Fedha ya ruzuku ni fedha ya kodi za watanzania wote. Ni fedha za serikali. Katibu mkuu wa chama cha siasa (eg John Mnyika) ndiye Afisa Masululi (Accounting Officer) wa pesa hizo. Hivyo ni lazima awe amepatikana kihalali na anatambuliwa na msajili wa vyama vya siasa ambaye ndiye custodian wa pesa hizo za watanzania wote. Msajili hawezi kuzipeleka kwa mtu aliyepatikana kinyemela. It will be against the government financial regulations.
Bodi ya wadhamini haina mamlaka ya uofisa masululi. Kwa ukaidi wao huo kwa msajili, chadema hawahitaji hizo pesa za serikali. Wanajua zile za tone tone plus zile za kutoka IDU, Maria Sarungi, Karua etc zinawatosha na kusaza. After all hizi ruzuku zitakoma kwa vyama vyote baada ya bunge kuvunjwa hivi karibuni kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Vyama vitakavyokuwa kwenye kampeni zitapata ruzuku special. Chadema ilishajiondoa kwenye kampeni hizo. Imejipanga kwa fedha za tone tone na za IDU siku ya uchaguzi mkuu itauzuia usifanyike kwa kukinukisha siku hiyo.
Kama wewe ni wakili kweli wa chadema na unataka chadema imeonewa kwa kusitishiwa hiyo ruzuku yao ya TSh 107 million kwa mwezi, tuakushauri kafungue kesi mahakama kuu badala ya kuleta porojo humu ambazo msajili hatakujibu.
Nilichokiona kwako wewe hujui sheria, Pili tambua kuwa mkakati ulipo ni kukiua hicho CHAMA, hapo haitumiki sheria inatumika nguvuMWANASHERIA ASIYE NA AKILI KABISA ANAULIZA MASWALI UTAFIKIRI HANA AKILI WATU WALISHAPEWA TAARIFA VITU VYA KUREKEBISHA WAMEKOMAZA MAFUVU WAKIJIONA KAMA WAO WAKO JUU YA SHERIA ZA MSAJIRI HALAFU MWANASHERIA MAVI ANAKUJA KUSEMA WALIPEWA TAARIFA? YAAANI BADO UNASAFARI NDEFU SANA KWA WANASHERIA WA UPINZANI WA AKILI ZA HUYU MBURULA