PreGE2025 Mwanasheria ahoji maswali 10 kwa Msajili kusitisha ruzuku ya Chadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu msajili ajifunze maujinga waliyoyafanya watangulizi wake akiwemo Tendwa ambaye alikuja kufa kwa aibu!
 
Umeandika au unaharisha?
 
Wao na Jissu wao, si wamedai wataendesha chama kwa tone tone!! Sasa wanalia nini?? Ha ha ha ha!
 
Majirani zetu tunawapenda sana, mnaongea kwa hoja!

Your browser is not able to display this video.

TANZANIA HAWANA ATA IEBC ,RAIS NDIO ANACHAGUA WATU.
 
We zombie utangulie kujitambulisha, we umeishia la ngapi mpk uwe ngumbaru hivyo
Mtu anayeandika " mpk, ht, hv", huyo ni wale wa kundi la kujua kusoma na kuandika, yaani elimu ya msingi.
Kama ni "me", basi utakuwa ni mmojawapo wa mimba zilizotungwa kwenye mikesha ya mwenge.
 
Wanajifanya wajuaji.Wameambiwa akidi haijatimia wabishi kwelikweli
 
Sisiemu kila kona kuna watu wao lengo kudhoofisha chadema, sasa basi Chadema itasimama na ruzuku mtatoa
 
Unafikiri awajui? Ila mzizi uliojichimbia ndio unaleta matatizo yote haya
 
Huna akili.

ImekuwaJe siku hizi kila Combi (Chawa) hana akili ?!
 
No Reforms! No Elections!
 
Mbona huyu anayejiita wakili ni kama ameandika porojo mtupu. Ni mwanasheria kweli wa chadema? Yaani anataka akamfundishe sheria Jaji Mtungi na wasaidizi wake?

Msajili hakufuta kamati tendaji ya chadema. Malalamiko yalifikishwa kwake na Bw. Mchome kwamba kamati hiyo ilijiingiza madarakani kwa njia zilizo kinyume na katiba ya chama cha chadema. Kwa mjibu wa katiba ya chama akidi ya baraza kuu la chama la kuteuwa wajumbe hao ni asilimia 75%. Akidi ya baraza kuu lililowateua hawa waliopo ilikuwa ni 45% tu wakiwemo ambao si wajumbe wa baraza kuu hilo. Upande wa walalamikiwa wakiwemo John Mnyika na Heche walikubali suala hilo.

Hivyo msajili aliamua hiyo kamati tendaji iliyopo si halali na haitambuliki kwa mjibu ya katiba ya chama chao. Alielekeza chama hicho kiitishe mkutano wa baraza kuu haraka iwezekanavyo ndani ya mwezi mmoja kuhalalisha hiyo kamati tendaji.

Chama kilikaidi maelekezo hayo. Fedha ya ruzuku ni fedha ya kodi za watanzania wote. Ni fedha za serikali. Katibu mkuu wa chama cha siasa (eg John Mnyika) ndiye Afisa Masululi (Accounting Officer) wa pesa hizo. Hivyo ni lazima awe amepatikana kihalali na anatambuliwa na msajili wa vyama vya siasa ambaye ndiye custodian wa pesa hizo za watanzania wote. Msajili hawezi kuzipeleka kwa mtu aliyepatikana kinyemela. It will be against the government financial regulations.

Bodi ya wadhamini haina mamlaka ya uofisa masululi. Kwa ukaidi wao huo kwa msajili, chadema hawahitaji hizo pesa za serikali. Wanajua zile za tone tone plus zile za kutoka IDU, Maria Sarungi, Karua etc zinawatosha na kusaza. After all hizi ruzuku zitakoma kwa vyama vyote baada ya bunge kuvunjwa hivi karibuni kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Vyama vitakavyokuwa kwenye kampeni zitapata ruzuku special. Chadema ilishajiondoa kwenye kampeni hizo. Imejipanga kwa fedha za tone tone na za IDU siku ya uchaguzi mkuu itauzuia usifanyike kwa kukinukisha siku hiyo.

Kama wewe ni wakili kweli wa chadema na unataka chadema imeonewa kwa kusitishiwa hiyo ruzuku yao ya TSh 107 million kwa mwezi, tuakushauri kafungue kesi mahakama kuu badala ya kuleta porojo humu ambazo msajili hatakujibu.
 
Kama ambavyo huyo msajili alimuondoa James Mbatia NCCR-Mageuzi kwa figisu za CCM, na leo mahakama imetengua maamuzi yake, vivyo hivyo na kwa Chadema hawezi toboa. Chadema ni imani, chadema ndo tumaini pekee lililobaki kwa Tanzania huru, Tanzania ambayo rasilimali zake zitawanufaisha watu wake na sio watawala na machawa wake kama wewe
 
Nilichokiona kwako wewe hujui sheria, Pili tambua kuwa mkakati ulipo ni kukiua hicho CHAMA, hapo haitumiki sheria inatumika nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…