Upo Sahihi kabisaaQatar na Pakistan hawastahili kuwepo kwenye baraza la usalama, ni magaidi
Mbona Israel inasupport magaidi waEbu tazama mwanasheria wa haki za binadamu katika kikao cha UN akiwakumbusha Pakistan na Qatar kuwa wao ndio sponsa wa ugaidi baada ya kuilaumu Israel
View attachment 3470316
Pakistan ana nuclear warheads, jichanganyeni muoneQatar na Pakistan hawastahili kuwepo kwenye baraza la usalama, ni magaidi
Hao ni magaidi wastaarabu.Mbona Israel inasupport magaidi wa
SDF huko Syria,
HTS ya Syria,
RSF ya Sudan
PKK ya Turkey n.k