Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

Nakusalimia mpendwa [emoji23]
 
Sasaa ndiye Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 
Huu uzi sijui ulinipitaje kipindi hicho umewekwa jukwaani. Bullet namba 19 na 15. Vimenipa mwanga wa kutosha. Huyu anafaa kuwa mwanasheria wetu Mkuu.
 
Unamqita mwanasheria mkuu koko?
 
Binadamu huwa wanabadilika huwezi sema nilimwona juzi yuko Chadema Leo ukamwona yuko CCM ukashangaa.Hongera zake kwa kuteuliwa
Mjifunze kuona na kusikia na sio kuongozwa na mahaba ya chama, Sasa hapa unataka kusema kabadilika kwenye nini na je alifuta kauli zake juu ya mchanga wenu?
Ndio mjue saa nyingine mnayemtetea kagundua nyinyi ni wanafiki wakubwa na hamtumii hata akili kuitetea serikali yake kama babu yenu Masaju.
 
[emoji23] [emoji23]
Ndio maana uwe unaandika kama Kuna kesho mkuu
Jitahidi kupinga kwa hoja za mleta mada
Sio kumshambulia yeye ulichofamya wewe ni kumvaa yeye sio hoja zake
Akina Dr kitila mkumbo tuliwapinga sana wakwa upinzani wakabadilika wakateuliwa tukawapongeza.Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only
 
Hii mpya alibadilika lini? Kabla ya kuchaguliwa au baada ya kuchaguliwa. Naona harufu ya matango pori hapa. Au unapoishambulia CDM ndo umebadilika kisiasa?
 
Akina Dr kitila mkumbo tuliwapinga sana wakwa upinzani wakabadilika wakateuliwa tukawapongeza.Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only
Me huwa sifuati nani aliyesema
Ila nini kimesemwa
Nakushauri penda kusikiliza hoja ila sio kuangalia nani kasema

Ulichofamya wewe ni kumvaa yeye sio hoja zake

Sidhani kama huyo Dr amebadili msimamo wake na unaweza usijue mteuaji aliangalia msimamo wake na kuona anaweza kumtumia
 
Haya we piga domo wenzio wanateuliwa! Na kuna wanaojuta sasa kumshambulia Mzalendo Namba Moja Tundu Antipas Lissu.
 
Ukweli ni ukweli tuu, na utasimama hivyo. I stand to be corrected" maoni yake ni sawa kwa 100% na yale yale ya TL (Comrade) katika issue ya madini na mikataba )
 
Hatimae watu wanaosema ukweli wanashinda,haijalishi itachukua muda gani!

Na nyinyi wapigia makofi kila zumari mjiulize sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…