Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Hapo sasa je waliompinga watabadilisha gia angani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusalimia mpendwa [emoji23]Agent of imperialist at work. Ahadi mojawapo Ya mwana Tanu ilikuwa ikisema nitajiellimisha kwa kadri Ya uwezo wangu kwa faida Ya watanzania walio wengi .mleta maada kajielimisha sana kwa faida ya imperialists. Very sad.Yeye na tundu lisu wamejielimisha sana kwa faida ya imperialists
Sasaa ndiye Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.
Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.
Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.
Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.
Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Binadamu huwa wanabadilika huwezi sema nilimwona juzi yuko Chadema Leo ukamwona yuko CCM ukashangaa.Hongera zake kwa kuteuliwaNakusalimia mpendwa [emoji23]
[emoji23] [emoji23]Binadamu huwa wanabadilika huwezi sema nilimwona juzi yuko Chadema Leo ukamwona yuko CCM ukashangaa.Hongera zake kwa kuteuliwa
Unamqita mwanasheria mkuu koko?Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.
Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.
Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.
Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.
Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Mjifunze kuona na kusikia na sio kuongozwa na mahaba ya chama, Sasa hapa unataka kusema kabadilika kwenye nini na je alifuta kauli zake juu ya mchanga wenu?Binadamu huwa wanabadilika huwezi sema nilimwona juzi yuko Chadema Leo ukamwona yuko CCM ukashangaa.Hongera zake kwa kuteuliwa
Akina Dr kitila mkumbo tuliwapinga sana wakwa upinzani wakabadilika wakateuliwa tukawapongeza.Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only[emoji23] [emoji23]
Ndio maana uwe unaandika kama Kuna kesho mkuu
Jitahidi kupinga kwa hoja za mleta mada
Sio kumshambulia yeye ulichofamya wewe ni kumvaa yeye sio hoja zake
Hii mpya alibadilika lini? Kabla ya kuchaguliwa au baada ya kuchaguliwa. Naona harufu ya matango pori hapa. Au unapoishambulia CDM ndo umebadilika kisiasa?Akina Dr kitila mkumbo tuliwapinga sana wakwa upinzani wakabadilika wakateuliwa tukawapongeza.Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only
Me huwa sifuati nani aliyesemaAkina Dr kitila mkumbo tuliwapinga sana wakwa upinzani wakabadilika wakateuliwa tukawapongeza.Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only
Haya we piga domo wenzio wanateuliwa! Na kuna wanaojuta sasa kumshambulia Mzalendo Namba Moja Tundu Antipas Lissu.Agent of imperialist at work. Ahadi mojawapo Ya mwana Tanu ilikuwa ikisema nitajiellimisha kwa kadri Ya uwezo wangu kwa faida Ya watanzania walio wengi .mleta maada kajielimisha sana kwa faida ya imperialists. Very sad.Yeye na tundu lisu wamejielimisha sana kwa faida ya imperialists
Ukweli ni ukweli tuu, na utasimama hivyo. I stand to be corrected" maoni yake ni sawa kwa 100% na yale yale ya TL (Comrade) katika issue ya madini na mikataba )Mjifunze kuona na kusikia na sio kuongozwa na mahaba ya chama, Sasa hapa unataka kusema kabadilika kwenye nini na je alifuta kauli zake juu ya mchanga wenu?
Ndio mjue saa nyingine mnayemtetea kagundua nyinyi ni wanafiki wakubwa na hamtumii hata akili kuitetea serikali yake kama babu yenu Masaju.
Hatimae watu wanaosema ukweli wanashinda,haijalishi itachukua muda gani!Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.
Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.
Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.
Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.
Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Ha ha ha ha ha unachekeshaHatimae watu wanaosema ukweli wanashinda,haijalishi itachukua muda gani!
Na nyinyi wapigia makofi kila zumari mjiulize sasa.