Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.

Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.

Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.

Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.

Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Ndio attorney General leo
 
Ndo ameteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa ccm, utakimbia chama au? A retarded personality like you lazima ufikiri kwanza kabla ya kuharisha kwa mdomo wako huu unaotoa kama machinjio ya Vingunguti.
 
Kwa hii andiko uliloandika unastahili kutunukiwa Phd .Mimi self declared university chancellor of presitege jamii forum international professor emiretus Yehodaya kwa mamlaka niliyojipa mwenyewe nakutunuku PHd ya Ubwege
Umebaki kuwayawaya tu kama machela!
 
Ndo ameteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa ccm, utakimbia chama au? A retarded personality like you lazima ufikiri kwanza kabla ya kuharisha kwa mdomo wako huu unaotoa kama machinjio ya Vingunguti.
Sikimbii CCM ng'oo nampongeza kwa kuchaguliwa.unachekesha angalia takwimu wanaohama Chadema kwenda CCM na wanachama CCM wanaohama kwenda Chadema nani wengi? CCM chama dume Mimi nimemeza nembo ya CCM sihami kirahisi
 
Hii mada mumeiigeuza kunijadili mimi mheshimiwa sana Yehodaya badala ya mteuliwa moderators naomba mbadilishe kichwa muniweke jina langu liwe kwenye kichwa cha mada ili nijadiliwe vizuri hamnitendei haki watu wananijadili badala ya mteuliwa.Wapeni nafasi watu wajimwage wamjadili mheshimiwa Yehodaya
Wakati unamshambulia uliona ni vizuri lakini wewe sasa hivi unalialia nini? Tulia dawa iingie, mfia chama koko wewe. Mlamba viatu mkubwa. Nina mashaka kama bado marinda zako ziko intact kwa style hii ya kimbelembele na kujipendekeza. Unaudhi sana....
 
Ndio attorney General leo
Hongera zake Chadema nafasi Kama hiyo mtaisikia kwenye radio na TV vyeo vyenu vya juu ni udiwani na ubunge mkijitahidi sana umeya.Wagombea waliokaa miaka msingi udiwani na ubunge ni Chadema ni bunge na udiwani linajisifia ohhh mimi miaka 15 mbunge au diwani mfululizo loooo miaka 15 hujawa naibu waziri au mkuu wa mkoa au jaji au mwanasheria mkuu au balozi loooo ujinga mtupu.Hivi watoto wakiuliza Wewe siku zote mbunge au diwani unawajibu nini?
 
Hii mada mumeiigeuza kunijadili mimi mheshimiwa sana Yehodaya badala ya mteuliwa moderators naomba mbadilishe kichwa muniweke jina langu liwe kwenye kichwa cha mada ili nijadiliwe vizuri hamnitendei haki watu wananijadili badala ya mteuliwa.Wapeni nafasi watu wajimwage wamjadili mheshimiwa Yehodaya
Wanajadili upumbavu wako!

Yaani jinsi ulivyo mpumbavu.
 
19. Mineral rights means rights to extract minerals and sell them. Does it include transporting them outside the country in order to extract minerals? I don't think if contracts say so. And if they do, that defeats the principle of permanent sovereignty over natural resources!
kabala ya kuanza kuchimba katika mafuta na madini huwa kunakitu kinaitwa feasibilty study. kutokana na kitu hiki ni lazima investment analysis ifanyike na ikifanyika lazima ieleze watachimba kiasi gani kwa mwaka na mgodi utachukua miaka mingapi na pamoja na hapo wanaeleza watachimba kwa aina gani na watachenjua kwa vifaa ngani na wapi. hivyo kabla ya kuomba leseni huwa wameeleza hayo na maana hiyo wanakuwa wameeleza wataenda kuchenjua wapi ndani au inje. report hii ndiyo inatumika kuombea leseni ya kuchimbia kwa maana hiyo ukikataa report hiyo na taratibu hizo hivyo hutawapa leseni ya kuchimbia na kama utaikubali ndiyo mtatengeneza mining development agreement. kwa maana hii swala la kuwa madini yatachejuliwa ndani au inje ya inch ni swala ambalo huwa lipo wazi hata kabla ya kutoa leseni na kwa maana hii huwezi kuhusishanisha permanent sovereignty imevunjwa kwa kigezo cha kusafilisha madini kwa ajili ya kuchenjua. kwa lugha nyingine permanent sovereignty inazungumuzia umiliki na siyo utachenjua wapi na kuuza wapi.
KWANI WEWE UKIBEBA MADINI YAKO UKAENDA KUCHENJUA MWENYEWE NA UKAYALUDISHA NYUMBANI KWAKO KUNATATIZO GANI?. THE ISSUE YA KUSAFILISHA HAPA IMEJIKITA KUWA WANATUDANGAYA KIWANGO KILICHOMO PIA TUNAPOTEZA AJIRA NA SIYO SWALA LA PERMANENT SOVEREGNITY HAPA.
 
N
Na Lisu alisema tatizo kubwa ni mikataba tuliyosaini na sheria za kimataifa .. MIGA, ICSDI??? (rekebisha)... yote alitasema Lisu, utadhani huyu Dk. amekopi kwa LISU
Ni expert wa sheria, na amefanya kazi kwa muda mrefu na PHD yake ni kuhusu mafuta na Gesi, kwa hiyo lazima aingie ndani katika mikataba ya kimataifa kuhusu rasilimali. Lakini WTZ kila mmoja ameshakuwa mjuaji bila kujali taaluma ya mwenzake.
 
Hongera zake Chadema nafasi Kama hiyo mtaisikia kwenye radio na TV vyeo vyenu vya juu ni udiwani na ubunge miijitahidi sana umbeya.Wagombea waliokaa miaka msingi udiwani na ubunge ni Chadema libunge na lidiwani linajisifia ohhh mimi miaka 15 mbunge au diwani mfululizo loooo miaka 15 hujawa naibu waziri au mkuu wa mkoa au jaji au mwanasheria mkuu au balozi loooo ujinga mtupu.Hivi watoto wakiuliza Wewe siku zote mbunge au diwani unawajibu nini?

Hii comment yako pia tunaiifadhi iko Siku tutaitumia km reference
 
Poa tu Binadamu hubadilika akina Anna Mgwira, kitila mkumbo ,wabunge akina molell ,mtulia nk ,Dk slaa mbona wamebadilika? Nawapongeza Hainipi shida una swali lingine mkuu ?
Hakuna walichobadilika katika misimamo yao zaidi ya kutambua juhudi za rais. Tatizo uwezo wako wa kufikiri umajikita nani kasema nini! ungekuja na counter argument za kisheria dhidi ya Dr Kilangi, ungeweza kuelimisha watu zaidi ya kuja na hoja za kwenye kanga, mbona fulani, oh agent wa kitu fulani nk.
 
hapakuwa na sababu ya kumpiga Risasi. Lisu will always be a HERO! UZAO ULIOBARIKIWA
Bahati mbaya katuni sikuiona. Niwekee tafadhali kama umeitunza
Hiyo katuni ntaitafuta mkuu nikuwekee hapa.
 
Poa tu Binadamu hubadilika akina Anna Mgwira, kitila mkumbo ,wabunge akina molell ,mtulia nk ,Dk slaa mbona wamebadilika? Nawapongeza Hainipi shida una swali lingine mkuu ?
Mkuu umeshavuliwa nguo chutama ndio uungwana. Kwa tunaomfahamu Kilangi hata kabla ya kuwa mwanasheria tunakushangaa tu. Dr. Kilangi msimamo wake huwa haubadiliki wala hayumbishwi katika kuusimamia ukweli. Labda utwambie kuwa wewe ndiwe uliyebadilika.
 
Kuna maeneo hufikia mahali kukubaliana kutokubaliana ni kawaida na ni demokrasia sio lazima nikubaliane naye na yeye si lazima akubaluane na mimi kwa kila kitu hata kama wote ni CCM
 
Kwenye ule uzi wa Yericko Nyerere uliandika jambo la msingi sana,kwamba tuitumie JF kuandika mambo ya msingi na yenye kuishauri serikali na kwa lugha ya staha.

Hili bandiko la huyu jamaa bila shaka ndio lilimuibua,na bandiko lake ndio kilekile alichokuwa anasema Tundu Lisu.Hapa ndio Waswahili wanasema utajua kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko wadudu wengine watambaao

Jf is never boring.....
Unaweza onesha ni wapi msimamo wa lisu unaendana na Huyu?
 
Unaweza onesha ni wapi msimamo wa lisu unaendana na Huyu?
hata ukipewa ufafanuzi utaelewa kweli? tundu lissu kaitwa msaliti na ma inzi ya kijani hadi kupewa kebehi siku ya kupokea report ya tume baada ya kuonya kuhusu MIGA na mali kutaoifishwa,akaonya kama tunataka kuwataifisha basi tujitoe kwanza MiGA,na mswaada upelekwe bungeni,yaliyomtokea baada ya hapo wote tunayajua sasa msome AG mpya alichoandikaga hapo na usije kuuliza mbona hatukushtakiwa maana nitakuuliza mbona hatukutaifisha mali za kampuni iliyotuibia trillioni 420 huku ikifanya kazi bila usajili unless kama uliridhika na maigizo ya kishika uchumba cha 300 million dollars
 
Hongera zake Chadema nafasi Kama hiyo mtaisikia kwenye radio na TV vyeo vyenu vya juu ni udiwani na ubunge mkijitahidi sana umeya.Wagombea waliokaa miaka msingi udiwani na ubunge ni Chadema ni bunge na udiwani linajisifia ohhh mimi miaka 15 mbunge au diwani mfululizo loooo miaka 15 hujawa naibu waziri au mkuu wa mkoa au jaji au mwanasheria mkuu au balozi loooo ujinga mtupu.Hivi watoto wakiuliza Wewe siku zote mbunge au diwani unawajibu nini?
c9c0c75ec66c771a2bc36e635e2f470e.jpg
 
Back
Top Bottom