Mwanasheria Dkt. Nshala Rugemeleza: Mkataba wa bandari ni wa kiuhaini, Umevunja katiba ya nchi na utakwenda kuvunja sheria za nchi

Phd ya Harvard ktk kuzungumzia uhalisia ndy ujuaji wenyewe huo.
Phd Holder, kafunguka kweli...
Muhimu kujibu hoja zake kuliko kebehi.
Marehemu Prof. Baregu naye alikuwa mhitimu wa havard (ninavyosikia); alichokidanya ni nini zaidi ya kuwatumikia kina mbowe na tundu lissu maisha yake yote!
 
Kila mtanzania anajua kila kitu. Waliosaini huo mkataba ni pande mbili na zote zikiwa na wabobezi na wajuzi wakubwa wa masuala ya sheria za kimataifa.

Ukomo upo kwenye hii mikataba na umeelezewa zaidi ya mara milioni moja kwa maana ya kutolewa ufafanuzi.

Kuna wale wengine waliofungua kesi. Na wao wanakwenda kushindwa huko mahakamani.

Rais Samia anaweza kuwa ni mwanamama lakini anao uwezo mkubwa wa kupambana wenye kufanana na wa wanasiasa mahiri wanaume.
 
Marehemu Prof. Baregu naye alikuwa mhitimu wa havard (ninavyosikia); alichokidanya ni nini zaidi ya kuwatumikia kina mbowe na tundu lissu maisha yake yote!
Unaonyesha jinsi unavyokuwa defensive kwakufanya personal attack...Jibu hoja acha attacks kwa watu
 
Kila mtu mjuaji sasa😆😆😆😆
Wapigaji bandarini wanazo pesa za kuajiri wasomi wa kiwango cha juu lakini kuhusu DPW imekula kwao mazima.

Muda wowote kuanzia sasa mikataba ya kibiashara HGA inakwenda kusainiwa kati ya pande mbili , mwarabu na mzalendo.
 
Kwamba spika alikwenda kwake kupata elimu zaidi ndio kigezo cha kuongea upuuzi hadharani!.

Hana uhalali wa hoja zake kujadiliwa ikiwa yeye mwenyewe anaanzisha personal attacks dhidi ya mamlaka kamili ya spika.
 
Marehemu Prof. Baregu naye alikuwa mhitimu wa havard (ninavyosikia); alichokidanya ni nini zaidi ya kuwatumikia kina mbowe na tundu lissu maisha yake yote!
Acha wivu na watu, eti "ninavyosikia" kama unafikiri Kila mtu katika haya maisha anaolewa na kugaragazwa kitandani na watawala kama ulivyo wewe unakosea. Baregu hakuwa wa hivyo.
 
Kipindi cha mkapa. Mashirika ya umma yali binafsishwa. Na kubinafsishwa , asilimia kubwa ya mashirika hayo yakafa daima mifano ipo , Miaka ya juzi ilipo fufuliwa ikabidi nchi ilipe madeni kwanza (atcl na ttcl) full of. Money (hongera sana. Chuma rest in peace )
 
Acha wivu na watu, eti "ninavyosikia" kama unafikiri Kila mtu katika haya maisha anaolewa na kugaragazwa kitandani na watawala kama ulivyo wewe unakosea. Baregu hakuwa wa hivyo.
Ngoja nikuache, si vema na wala sio wakati muafaka na wala haina heshma kubishana na mrainbow mbottom
 
Huyu mwanamke SSH akili hamna kabisa! Sasa anadhani anaweza kuuza rasilimali za watanganyika akawa salama? Time will tell!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…