Kila mtu mjuaji sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Phd ya Harvard ktk kuzungumzia uhalisia ndy ujuaji wenyewe huo.
Phd Holder, kafunguka kweli...
Muhimu kujibu hoja zake kuliko kebehi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu mjuaji sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Marehemu Prof. Baregu naye alikuwa mhitimu wa havard (ninavyosikia); alichokidanya ni nini zaidi ya kuwatumikia kina mbowe na tundu lissu maisha yake yote!Phd ya Harvard ktk kuzungumzia uhalisia ndy ujuaji wenyewe huo.
Phd Holder, kafunguka kweli...
Muhimu kujibu hoja zake kuliko kebehi.
Unaonyesha jinsi unavyokuwa defensive kwakufanya personal attack...Jibu hoja acha attacks kwa watuMarehemu Prof. Baregu naye alikuwa mhitimu wa havard (ninavyosikia); alichokidanya ni nini zaidi ya kuwatumikia kina mbowe na tundu lissu maisha yake yote!
Wapigaji bandarini wanazo pesa za kuajiri wasomi wa kiwango cha juu lakini kuhusu DPW imekula kwao mazima.Kila mtu mjuaji sasa😆😆😆😆
Marehemu Prof. Baregu naye alikuwa mhitimu wa havard (ninavyosikia); alichokidanya ni nini zaidi ya kuwatumikia kina mbowe na tundu lissu maisha yake yote!
Mvaa kobazi huyo humwambii kitu.Plse achana na personal attack,
Jibu hoja husika.
Huyo ana PhD ya investment law kutoka Harvard ametoa hoja zake,haya nawewe jitambulishe elimu yako halafu jibu hoja tuone nani anaonekana mjuaji hapa.Kila mtu mjuaji sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa akili yako iliyojeruhiwa utaelewa Nini. Bandari haiendi popote.Kila mtu mjuaji sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Acha wivu na watu, eti "ninavyosikia" kama unafikiri Kila mtu katika haya maisha anaolewa na kugaragazwa kitandani na watawala kama ulivyo wewe unakosea. Baregu hakuwa wa hivyo.Marehemu Prof. Baregu naye alikuwa mhitimu wa havard (ninavyosikia); alichokidanya ni nini zaidi ya kuwatumikia kina mbowe na tundu lissu maisha yake yote!
Hii kitu 👆👆 hii!!Binding Agreement"
Ngoja nikuache, si vema na wala sio wakati muafaka na wala haina heshma kubishana na mrainbow mbottomAcha wivu na watu, eti "ninavyosikia" kama unafikiri Kila mtu katika haya maisha anaolewa na kugaragazwa kitandani na watawala kama ulivyo wewe unakosea. Baregu hakuwa wa hivyo.