Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki zimelipwa, kama ni hela ya msaada weka kumbukumbu sawa imetoka wapi na kwa ajili ya nini, kutokuzingatia haya utajiweka katika hatari ya makosa ya kodi, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi"
