Cool Runnings
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 277
- 199
- Thread starter
- #21
Ni ujanja wa kisomi kwa wasiosoma!!!!
Kama kuna watu wa kuwa nao makini ni hawa haswa wenye majina!!!!!!!
Halafu ni cycle ya walio na hiyo taaluma, jioni viti virefu mchana huyu hakimu au judge na yule wakili!!!!
Wote viti virefu wanaweza kuwa wanatumia malipo ya mteja mwenye pesa!!!! Watataka kubisha hapa as if hakimu au judge wakitoka na wakili wakili huwa halipi!!!!!!
Puzzle! !!!!
Mkuu hii bado haiondoi need ya adequate legal represantation ya mtuhumiwa.