Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema:

“Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira inayowataka wananchi kutunza mazingira. Sasa wanaenda kupanda miti, wanazuiwa. Mbona kule Kizimkazi hawakuzuiwa? Anasema anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, wakati kuna wiki nzima ya upandaji miti na hakuna kilichozuiwa.”

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…