Mwanasheria Mkuu: Jopo la Wanasheria lapambana kuokoa ndege ya Tanzania na mchakato wa Kimahakama upo katika hatua nzuri

Mwanasheria Mkuu: Jopo la Wanasheria lapambana kuokoa ndege ya Tanzania na mchakato wa Kimahakama upo katika hatua nzuri

Hivi walokole wenzangu mko wapi tumpige mkulima upofu tena tumfanye alegee asombwe na upepo wa kisulisuli, tumechoka!
unazungumzia wanakondoo wa gwajima, 'wanaolala' kistaarabu pasipokutikiswa na upepo wa kisulisuli
 
Si vema kuzungumzia suala lililopo Mahakamani. Pamoja na hayo, tunapaswa kuelewa na tukubali kuwa kuna masuala mengine yapo juu ya uwezo wa uelewa wa baadhi ya watu.
 
Kule Canada ni hatari tupu sio Africa kule hilo deni kama kweli mnadaiwa mtalilipa tu, wazungu wanajali sana haki kuliko tamaa ya pesa, na tena aliyepeleka kesi ni beberu mwenzao kama mzee meko asemavyo, mtafurahi ma show


Deni mtalilipa na kibao mtageuza kuwa kesi mmeshida
Eti wazungu wanajari sana haki , hivi waliokua wakituibia makinikia si ni hawahawa au haki ikiwa upande wa wazungu tu ? Kumbuka huyu mkulima alishindwa kesi hata rufaa alishindwa
 
Back
Top Bottom