*KATIBA inaweka sharti kwamba makamu wa Rais awe na sifa za kikatiba ikiwemo swala la uanachama wa chama Cha siasa
*Mh nchibi aliandika kwamba kujiuzuru kwake kuanze tarehe 4 September na Rais alikubali tarehe hyo
*Lakini ,kama tarehe 26 August ccm ilimuvua uanachama ndipo swali linabadilika je? Kupoteza uanachama kunamfanya apoteze cfa ya kuwa makamu wa rais mara Moja ? Jibu ni ndyo.HAPA NDIPO UTATA ULIPO
Kimtazamo na uhalisia
Kama makamu wa raisi lazima awe mwanachama wa chama frani Cha siasa ,basi baada kupoteza sifa hyo huwezi kushika ofisi kuanzia tarehe hyo alio vuliwa
Barua ilijibiwa vzr .kwa maana hyo barua ilifuata kile kilichoandikwa na mh eem ya trh 4 .
Kosa lipo hapa
Ccm hamkupaswa kumuvua uanachama trh 26 badala yake mngeeleza umma kua kuanzia trh 4 au 5 august hata kua mwanachama .