Isipokuwa deni la taifa. Lenyewe linabaki kuwa deni la taifa!Kila kitu ni cha Samia yaani!
Hicho ndio cha kushangaza!Isipokuwa deni la taifa. Lenyewe linabaki kuwa deni la taifa!
Amejiunga baada TAL kushinda Uenyekiti wa chamaKumbe Nshala ni Chadema π€π€π€π€
Deni la samia πNa deni la taifa waliite "DENI LA SAπ―.
Kwenye shida wanaleta wanaleta up moja eti "taifa"..
Kwenye manufaa wanaweka personality SAπ―..
Dadekii zenu ccm
Kama kuna kaukweli hivi π€π€π€π€Na deni la taifa waliite "DENI LA SAπ―.
Kwenye shida wanaleta wanaleta up moja eti "taifa"..
Kwenye manufaa wanaweka personality SAπ―..
Dadekii zenu ccm
πππ Umaskini wa nchi nzima, deni la taifa ni la nchi nzima ila miradi yote sio yetu wote ni ya raisi.Na deni la taifa waliite "DENI LA SAπ―.
Kwenye shida wanaleta wanaleta up moja eti "taifa"..
Kwenye manufaa wanaweka personality SAπ―..
Dadekii zenu ccm
Hii iko wazi kabisa, leo nimeenda stesheni sgr dodoma eti tayari ishapewa jina Samia stesheni!Samia hatoshi ndio maana
Kampeni ccm walianza kitambo Sana, tume Iko kimya tu..Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Rugelemeza Nshala leo amekosoa uwepo wa takrima kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi akitaja masuala kama vitendo vya wanasiasa kuandaa futari, kugawa Tshirt na vizawadi vingine ni rushwa ya wazi na tume ya Uchaguzi iko kimya tu
"Mwezi uliopita wale waliokuwa wabunge walisema wanafutarisha kila maeneo, eti matendo ya ukarimu. Kwani miaka iliyopita walikuwa wapi? Mahakama ilitangaza kwamba masuala yote yanayohusisha takrima ni kunyume cha katiba na yanakiuka misingi mikubwa"
Kwanini lisiitwe Deni la Samiq?Isipokuwa deni la taifa. Lenyewe linabaki kuwa deni la taifa!
Huo msamiati haumo kwenye lugha ya machawa wa Mama!Kwanini lisiitwe Deni la Samiq?