TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

Juma Mwapachu alikuwa Tanzania one kwny matokeo yake ya kidato cha nne

Baba yao alikuwa Frontliner wakati wa uhuru
Bakari Harith Mwapachu akawa Waziri wakati wa Mkapa na Jk

Mkuu, nimeona hapa kuna watu hapa wanaleta utani na mizaha.

Labda ni kwa kutokuelewa uzuri historia yao hawa wazee na mchango walotoa kuifanya nchi yetu isimame hapa ilipo.

Tuwaenzi hawa wazee wa sehemu ya waasisi (Establishement) wa taifa hili kwa kutumia lugha ya kistaarabu na si mizaha isio tija.
 
Achana na hao wajinga
 
Hao ndio wako sahihi. Hata kuzaliwa kwake si Pemba bali Sizaki, Bunda, Lake Province (sasa mkoa wa Mara).

Mkuu, wasiliana na Wikipedia ili uelezee hayo usemayo.

Personal details
2nd Attorney General of Tanzania
Mark Bomani
In office
1965–1976
PresidentJulius Nyerere
Preceded byRoland Brown
Succeeded byJoseph Warioba
Born2 January 1932
Wete, Pemba, Zanzibar
Died10 September 2020 (aged 88)
NationalityTanzanian
Political partyCCM
Alma materMakerere University

Source : Wikipedia
 
Kama hizi kampeni basi wakati huu ungekuta watu wanabishana kuhusu vifo vya corona kwenye huu uzi.
 
Hivi hakuwa na kwao mpaka azikwe Kinondoni au home alishapasahau?
 
Ili uwajue kina Bomani na Mwapachu lazima uwe mkongwe kwny game kama kina Warioba, Msekwa na Jk
Mzee Bomani kamzidi Jk miaka 20, Jk Kizazi chake ni hawa kina Mwandosya, kinana, makongoro, mbowe n. K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…