Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mbowe aliyezaliwa 1961 utamlinganisha JK?Mzee Bomani kamzidi Jk miaka 20, Jk Kizazi chake ni hawa kina Mwandosya, kinana, makongoro, mbowe n. K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe aliyezaliwa 1961 utamlinganisha JK?Mzee Bomani kamzidi Jk miaka 20, Jk Kizazi chake ni hawa kina Mwandosya, kinana, makongoro, mbowe n. K
Hawezi akawa SeriousMbowe aliyezaliwa 1961 utamlinganisha JK?
Tatizo UswahiliBaba yao alikufa wakiwa wadogo sana ,nasikia mwalimu nyerere aliwalea kama watoto zake wa kuzaa,wadigo wa zamani walisoma sana sijui what happened latter
JK kamzidi mbowe miaka 11 Sasa gap kubwa liko wapi kati yake na Jk na Bomani aliezidiwa miaka 20 yaani ni sawa na mwanae ? Jk mwenyewe anamuita mkapa kaka ambaye kamzidi miaka 14Mbowe aliyezaliwa 1961 utamlinganisha JK?
Aliemlinganisha Jk na Bomani yuko serious? Yaani Bomani aliefanya kazi na baba yake Jk wakulinganishwa na mtoto huu mzahaHawezi akawa Serious
Bomani na Kikwete wamepishana miaka 18 huu ni kwa mujibu wa miaka yao waliyozaliwa..Ila kwenye siasa na uongozi tunaweza kupima umri wa mtu kwa kuzingatia kipindi alichotumika kwenye uongozi bila kujali wamepishana umri kwa kiasi gani...Aliemlinganisha Jk na Bomani yuko serious? Yaani Bomani aliefanya kazi na baba yake Jk wakulinganishwa na mtoto huu mzaha
Sikuelewa dhamira yako hasa, japo umejitahidi Kueleza, kushika nafasi 4 na umri vimeingiliana vipi? Huyo kijana mwenzio anajiita Pohamba alijaribu kupotosha kwa kusema jakaya kikwete anaelewa vyema utendaji wa Bomani nikamkatalia nawewe pia nikuelekeze vilevile, jakaya ni mtoto mdogo kwa Bomani regardless aliteuliwa Bomani na jakaya au vinginevyo, huenda hujui kwamba baba yake jakaya Alifanya kazi na Mark Bomani, hivyo Mtu aliefanya kazi na Baba yako wewe ukiwa katoto hawezi kuwa agemateBomani na Kikwete wamepishana miaka 18 huu ni kwa mujibu wa miaka yao waliyozaliwa..Ila kwenye siasa na uongozi tunaweza kupima umri wa mtu kwa kuzingatia kipindi alichotumika kwenye uongozi bila kujali wamepishana umri kwa kiasi gani...
Mfano 1;Mzee mwinyi na Hayati Sokoine wamefanya kazi pamoja chini ya serikali ya Mwalimu Nyerere lakini Umri wao ulitofautiana sana kwa miaka 13.
2;Mzee kikwete na Hayati Mkapa wote waliudumu katika serikali ya Mzee Mwinyi ila tofauti yao kiumri ni miaka 12,wote hawa walifanya kazi kipindi kimoja japo kuwa Mzee Mkapa alikuwa ametangulia kuanza kufanya kazi za uongozi..
Marehemu mzee Bomani na Mzee kikwete kwa pamoja wamefanya kazi pamoja na ikumbukwe kuwa hata kinyan'ganyiro cha uraisi 1995 Bomani alishiriki na kufanikiwa kushika namba 4 Nyuma ya Kikwete na Mkapa..hivyo basi kwa kuyaangalia haya utaona hawa watu wamefanya siasa pamoja tena kwa muda mrefu tukizingatia kuwa kuna wengine waliingia kwenye uongozi angali wakiwa wadogo..
Mzee Nyerere na Mzee mwinyi walipishana miaka mitatu tu ya kuzaliwa lakini kwenye uongozi ni generation mbili tofauti na watu waliofanya kazi na Mwalimu kwa ukaribu Hayati Mfaume Kawawa na Oscar Kambona ni rika moja kabisa na Mwinyi...
My take:Kigezo cha umri hakitoi hitimisho kwenye uongozi na Siasa bali hutegemea ni kipindi kipi ulitumika iwe Kwa kuwahi ama kuchelewa.
Wewe kwenu wapi?Hivi hawanaga kwao hawa kila siku kutujazia Makaburi ya Kinondoni? Pale wanatakiwa wazikwe watu wasio na uwezo wa kusafirishwa
Mkapa kaanza kazi miaka ya sitini baada ya uhuru sijui nani kakudanganya kwamba alianza awamu ya mwinyi, mwinyi akiwa waziri na mkapa alikuwa waziriBomani na Kikwete wamepishana miaka 18 huu ni kwa mujibu wa miaka yao waliyozaliwa..Ila kwenye siasa na uongozi tunaweza kupima umri wa mtu kwa kuzingatia kipindi alichotumika kwenye uongozi bila kujali wamepishana umri kwa kiasi gani...
Mfano 1;Mzee mwinyi na Hayati Sokoine wamefanya kazi pamoja chini ya serikali ya Mwalimu Nyerere lakini Umri wao ulitofautiana sana kwa miaka 13.
2;Mzee kikwete na Hayati Mkapa wote waliudumu katika serikali ya Mzee Mwinyi ila tofauti yao kiumri ni miaka 12,wote hawa walifanya kazi kipindi kimoja japo kuwa Mzee Mkapa alikuwa ametangulia kuanza kufanya kazi za uongozi..
Marehemu mzee Bomani na Mzee kikwete kwa pamoja wamefanya kazi pamoja na ikumbukwe kuwa hata kinyan'ganyiro cha uraisi 1995 Bomani alishiriki na kufanikiwa kushika namba 4 Nyuma ya Kikwete na Mkapa..hivyo basi kwa kuyaangalia haya utaona hawa watu wamefanya siasa pamoja tena kwa muda mrefu tukizingatia kuwa kuna wengine waliingia kwenye uongozi angali wakiwa wadogo..
Mzee Nyerere na Mzee mwinyi walipishana miaka mitatu tu ya kuzaliwa lakini kwenye uongozi ni generation mbili tofauti na watu waliofanya kazi na Mwalimu kwa ukaribu Hayati Mfaume Kawawa na Oscar Kambona ni rika moja kabisa na Mwinyi...
My take:Kigezo cha umri hakitoi hitimisho kwenye uongozi na Siasa bali hutegemea ni kipindi kipi ulitumika iwe Kwa kuwahi ama kuchelewa.
Wewe Unataka kubishana nami siko tayari kwa hilo..Mkapa kaanza kazi miaka ya sitini baada ya uhuru sijui nani kakudanganya kwamba alianza awamu ya mwinyi, mwinyi akiwa waziri na mkapa alikuwa waziri
Itakuwa alikuwa ana kula pipi town hakujenga hata room moja nyumbani, kwanini asizikwe kwenye makaburi ya ukoo?ni Msukuma
Hawa viongozi wengi wamedanganya umri ni wakubwa sn sema wanapata matibabu mazuri, lishe bora hawajui changamoto za maisha.Mkapa kaanza kazi miaka ya sitini baada ya uhuru sijui nani kakudanganya kwamba alianza awamu ya mwinyi, mwinyi akiwa waziri na mkapa alikuwa waziri
Wasukuma waliooa wachaga wanaishia kuzikwa Kinondoni 😂😂.Huyu angeoa msukuma mwenzake,hakika angezikiwa kwao Mwanza.Hivi hawanaga kwao hawa kila siku kutujazia Makaburi ya Kinondoni? Pale wanatakiwa wazikwe watu wasio na uwezo wa kusafirishwa
Kama yupi amewahi kupelekwa? Watu wa Kanda hiyo hampendi kwenu wala kujenga hata Bhoke Mnaka nae mlizika hapo na umaarufu wakeWasukuma waliooa wachaga wanaishia kuzikwa Kinondoni [emoji23][emoji23].Huyu angeoa msukuma mwenzake,hakika angezikiwa kwao Mwanza.
Ila Paul Bomani pamoja na kuoa mchaga yeye alizikwa Mwanza. Iam sure Mark alichangia kaka yake azikwe Mwanza. Mark najua kabisa angependa azikwe alikozikwa kaka yake. Sema maiti hana sauti.Kama yupi amewahi kupelekwa? Watu wa Kanda hiyo hampendi kwenu wala kujenga hata Bhoke Mnaka nae mlizika hapo na umaarufu wake
Unaelekezwa unaleta kibri, kiburi si muungwanaWewe Unataka kubishana nami siko tayari kwa hilo..
Hongera..uko vizuri...mkuu..Bomani na Kikwete wamepishana miaka 18 huu ni kwa mujibu wa miaka yao waliyozaliwa..Ila kwenye siasa na uongozi tunaweza kupima umri wa mtu kwa kuzingatia kipindi alichotumika kwenye uongozi bila kujali wamepishana umri kwa kiasi gani...