Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu, ameshindwa kumshauri 'kisheria/kikatiba' Rais Samia S Hassan

Kwanza, wakati Mama Samia anatangaza kifo cha Hayati JPM, alitangaza siku 14 za maombolezo ilihali kwenye katiba zinatajwa siku 21. Baadae Katibu Mwenezi CCM ndg Polepole akatangaza siku 21 kwa niaba ya chama 'MKANGANYIKO'. Wananchi walihoji kwanini Makam alitangaza siku 14 badala ya 21 'Mwanasheria' hakuliona hili.

Pili, mara tu baada ya kuapa na kutoa hotuba fupi, taarifa iliyotolewa ni kwamba Rais anaenda kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri.

Baadae TLS wakatoa mwongozo wa kikatiba na kisheria kuhusu Baraza hilo kuwa kwasasa 'halipo'. Mwanasheria Mkuu na wanasheria wengine wa serikali mlikuwa wapi? Mbona hamjasema chochote? Washauri wa Rais mnamsaidiaje Rais?

Pia soma

Wakati mwingine ndiyo maana tunaamini taarifa za mitandaoni kuliko za serikali
Hujui kitu.
Nyamaza
 
Za mitandaoni zipo huru
 
Sasa Ndio tunajionea matokeo ya regime ile ya ndio mzee!
 
Kwanza, wakati Mama Samia anatangaza kifo cha Hayati JPM, alitangaza siku 14 za maombolezo ilihali kwenye katiba zinatajwa siku 21. Baadae Katibu Mwenezi CCM ndg Polepole akatangaza siku 21 kwa niaba ya chama 'MKANGANYIKO'. Wananchi walihoji kwanini Makam alitangaza siku 14 badala ya 21 'Mwanasheria' hakuliona hili.

Pili, mara tu baada ya kuapa na kutoa hotuba fupi, taarifa iliyotolewa ni kwamba Rais anaenda kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri.

Baadae TLS wakatoa mwongozo wa kikatiba na kisheria kuhusu Baraza hilo kuwa kwasasa 'halipo'. Mwanasheria Mkuu na wanasheria wengine wa serikali mlikuwa wapi? Mbona hamjasema chochote? Washauri wa Rais mnamsaidiaje Rais?

Pia soma

Wakati mwingine ndiyo maana tunaamini taarifa za mitandaoni kuliko za serikali
Kweli kabisa, ila inaweze kana bwana Kilangi anajua fika kuwa raisi akishakula kiapo na yeye kibarua chake kinakomea hapo. Ila hata Kama ni hivyo haimzuii kumshauri kwakua yeye amebobea zaidi kwenye sheria
Tatizo naloliona hapa watu (pamoja na ndugu Kilangi) wamepigwa na butwaa 😂😂 hawaamini kinachoendelea
 
Rais ndio kanuni ya Katiba

Katiba haimwongozi rais ila rais anaingoza katiba

Katiba ni kitu ila Rais ni Nafsi
Ni bora ukae kimya kuficha ujinga,
Unajua ikisemwa hakuna aliye juu ya katiba maana yake nn?
 
Walushazoea kuvunja sheria za nchi,ilishakuwa kawaida kwa utawala wa jiwe kukanyaga sheria.

Pili,mazingira ya kutangaza kifo hayakuwa rafiki kufanya mashauriano na Mwanasheria.Tangazo lilirekodiwa tanga likatumwa TBC.

Mfumo na wenye Chama walikuwa hawataki kutangaza kifo , mtifuano ulikuwa unaendelea ndani kwa ndani kuhakikisha Mama Samia haapishwi kuwa Rais. Mama Ni km aliwafanyia surprise.

Lilikuwa tangazo la kibabe.
Kweli kabisa, na inawezekana pia CDF aliwachimba biti ndo wakakaa kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom