Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu, ameshindwa kumshauri 'kisheria/kikatiba' Rais Samia S Hassan

Hujui kitu.
Nyamaza
 
Za mitandaoni zipo huru
 
Sasa Ndio tunajionea matokeo ya regime ile ya ndio mzee!
 
Kweli kabisa, ila inaweze kana bwana Kilangi anajua fika kuwa raisi akishakula kiapo na yeye kibarua chake kinakomea hapo. Ila hata Kama ni hivyo haimzuii kumshauri kwakua yeye amebobea zaidi kwenye sheria
Tatizo naloliona hapa watu (pamoja na ndugu Kilangi) wamepigwa na butwaa πŸ˜‚πŸ˜‚ hawaamini kinachoendelea
 
Rais ndio kanuni ya Katiba

Katiba haimwongozi rais ila rais anaingoza katiba

Katiba ni kitu ila Rais ni Nafsi
Ni bora ukae kimya kuficha ujinga,
Unajua ikisemwa hakuna aliye juu ya katiba maana yake nn?
 
Kweli kabisa, na inawezekana pia CDF aliwachimba biti ndo wakakaa kwenye mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…