Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 357
Inatakiwa kwenye ofisi zoote tangu alipoapishwa Samia kuwe na picha yake Mh. Rais Samia.Pia Rais ali hutubia Baraza jana ukutani ku kiwa na Picha ya JPM. Ni kosa Kubwa!!
We jamaa unatumia ubongo upi kufikiria???? Shwain mkubwa
Tuzidi kumuombea mama Samia awaondoe kabisa hawa watuWatu watatu 3 hawa;
1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, nafikili anaitwa Kilangi
2. DPP
3. Solicitor General - Gabriel Malata.
Hawa watu walichangia sana kuminya haki za Watanzania.
Huyo mwanasheria ni bomu kabisaInatakiwa kwenye ofisi zoote tangu alipoapishwa Samia kuwe na picha yake Mh. Rais Samia.
Lakini naona kwenye kitengo cha Protocol kuna shida mahali; Samia kupewa pen nyeusi badala ya nyekundu, kuendelea kuonekana picha ya JPM wakati tuna Rais mpya n.k
Mwigulu Nchemba Wajibu TLS:
Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say,
Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli mkaona hivyo!
Kwa mujibu wa Katiba Ibara ya 42(5) kuna watu wa aina mbili wanaweza kuwa Rais. Moja, Rais Mteule ambaye anatokana na Ibara ya 42(1). Mbili, Mtu anayeshika kiti cha Rais ambaye anatokana na ibara ya 37(5) na 50(2)(d) ambaye ni Makamu wa Rais. Kwa Mazingira haya, Makamu wa Rais, baada ya kifo cha Rais, anakuwa Kaimu Rais baadae ndio ameapa na kuwa RAIS wa Nchi. Rais Mteule anapatikana kutokana na uchaguzi. Hivyo basi ibara ya 57(2)(f) ya Katiba haitumiki katika mazingira haya. Kwa mjibu wa Sheria, Mhe Rais alitakiwa kutoa taarifa hii kwenye Baraza la Mawaziri baada ya kuapa na alifanya hivyo, maana yake Baraza lipo.
Hata hivyo kwa tamaduni za Kiafrika, kitanzania na Misingi ya UTU, SIONI KAMA NI JAMBO JEMA SANA KUANZA KUJADILI MGAWANYO WA MADARAKA TUNGALI HATA HATUJAMZIKA ALIYEKUWA KIONGOZI WETU. HUU SIO MSIBA MDOGO, JAMBO HILI ZITO LIKO MIKONONI MWA RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU, HALAFU SISI TUANZE KUMPATIA MAMBO YA MARA TEUA PM, MARA VUNJA BARAZA, KATIBA INAELEKEZA RAIS KUAPA NA NAMNA YA KUMPATA MAKAMU WA RAIS.
KWA MJIBU WA KATIBA RAIS ANARUHUSIWA KUVUNJA BARAZA MUDA WOWOTE NA KUPANGA ATAKAVYO HATA SIO KWA MAZINGIRA KUAPA KWAKE,
KWANINI HATUIONI HEKIMA YAKE YA KUSHUGHULIKIA MSIBA KUMSITIRI KWANZA ALIYEKUWA KIONGOZI WETU? TUNAANZA NA MAZISHI AU MIRATHI? 😭😭😭😭
Una uhakika?Rais ndio kanuni ya Katiba
Katiba haimwongozi rais ila rais anaingoza katiba
Katiba ni kitu ila Rais ni Nafsi
Walitaka kumdhuluma mama haki yake! Kwa ufupi ma-CCM ni mapumbavu! Nasikia jeshi liliwapa masaa vinginevyo lingetangaza Rais wake, TISS na Ma-ccm yakanywea! Pumbavu kabisa! Mama ayapige chino yote yaliyoteuliwa na Magu aanze upya! Mbona miaka mitano ni mingi hii?Walushazoea kuvunja sheria za nchi, ilishakuwa kawaida kwa utawala wa jiwe kukanyaga sheria.
Pili, mazingira ya kutangaza kifo hayakuwa rafiki kufanya mashauriano na Mwanasheria. Tangazo lilirekodiwa Tanga likatumwa TBC.
Mfumo na wenye Chama walikuwa hawataki kutangaza kifo, mtifuano ulikuwa unaendelea ndani kwa ndani kuhakikisha Mama Samia haapishwi kuwa Rais. Mama ni km aliwafanyia surprise.
Lilikuwa tangazo la kibabe.
Kiukweli huyo mwamba apigwe chini, Jiwe alikuwa hafati katiba na Sheria inawezekana hata jamaa naye aliona hakuna haja ya kupitia pitia katiba [emoji39][emoji2]
Acha uongo hakuna chembe ya ukaribu wala kabila. Mzushi wewe.Yote haya ni shauri ya Jiwe! Mzee alikuwa inagawa vyeo kindugu, maana huyu wanatoka mkoa mmoja na ni jamaa yake wa karibu sana! Mama atafute mtu sahihi! Amweke hata huyo Rais wa TLS atamsaidia sana!
Acha uongo wa kupindukia! Ndiyo maana ikatungwa sheria kwa watu kama ninyi na usidhani avatasr inakuficha. Kama unamtegemea Mello, hawezi kutetea.Walitaka kumdhuluma mama haki yake! Kwa ufupi ma-CCM ni mapumbavu! Nasikia jeshi liliwapa masaa vinginevyo lingetangaza Rais wake, TISS na Ma-ccm yakanywea! Pumbavu kabisa! Mama ayapige chino yote yaliyoteuliwa na Magu aanze upya! Mbona miaka mitano ni mingi hii?
Ushahidi!Fuatilia vizuri, viongozi wengi wa serikali huwa hawajui sheria wala katiba kwa upana wake,na wenye wajibu wa kisheria hufanya kuendana na mdundo wa kiongozi. wakati wa Magufuli ilikuwa ni rahisi sana kuongoza maana alikuwa hafuati sheria, bali alikuwa anatumia njia aliyooita nia njema ikiongozwa na uzalendo, hivyo mwanasheria Mkuu wa serikali, majaji, mahakimu na wengine walikuwa wanatekeleza sheria sio kama zilivyo, bali alivyokuwa anataka Magufuli. Sasa inaonekana bado mwanasheria Mkuu, Jaji Mkuu na wengineo bado wako kwenye hangover ya utawala wa Magufuli.
Kama unataka kuona uzuri wa jeshi andalia Ugana, Congio, Nyamar (Burma), Burundi, na Libya! Hiyo nafasi ya kuandika humu hutaipata maana internet zitafungwa. Tuone kama utasimama Kariakoo kuropoka unayoropoka.Wewe ni wa ajabu kabisa !Taifa la Tanzania lilipata Kiongozi Rais JPM ambaye alijitambua na akawa zaidi upande wa wananchi walio wengi na akajitofautisha na Watangulizi wake tukimuondoa Mwl JK Nyerere.
Ukombozi kamili wa Watanzania wengi utapatikana kama watanzania ambao pia ni wengi maskini walio katika vyombo vya ulinzi na Usalama/ Majeshi yetu watajitambua na kuacha kutumiwa na baadhi ya wanasiasa ndivyo sivyo.
Wanasiasa wanaringia hayo Majeshi hawana lolote lengine, pasipo kushikwa mkono na wajeda wa nyanja zote hawana jeuri yeyote.
Wànajeshi na vyombo vya ulinzi na usalama wakikataa kwa kumaanisha maadili ya hovyo ya baadhi ya wanasisa pasi shaka wanasiasa hao watafuata mstariiii nyookaaà.
Nyamazaaaaa!!Acha uongo wa kupindukia! Ndiyo maana ikatungwa sheria kwa watu kama ninyi na usidhani avatasr inakuficha. Kama unamtegemea Mello, hawezi kutetea.
Ushahidi!
Tusubiri tumzike baba,ndipo tuliamshe dudeKwanza, wakati Mama Samia anatangaza kifo cha Hayati JPM, alitangaza siku 14 za maombolezo ilihali kwenye katiba zinatajwa siku 21. Baadae Katibu Mwenezi CCM ndg Polepole akatangaza siku 21 kwa niaba ya chama 'MKANGANYIKO'. Wananchi walihoji kwanini Makam alitangaza siku 14 badala ya 21 'Mwanasheria' hakuliona hili.
Pili, mara tu baada ya kuapa na kutoa hotuba fupi, taarifa iliyotolewa ni kwamba Rais anaenda kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri.
Baadae TLS wakatoa mwongozo wa kikatiba na kisheria kuhusu Baraza hilo kuwa kwasasa 'halipo'. Mwanasheria Mkuu na wanasheria wengine wa serikali mlikuwa wapi? Mbona hamjasema chochote? Washauri wa Rais mnamsaidiaje Rais?
Pia soma
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Kilangi, jiuzulu kwa yanayotokea Bungeni na kunyamaza
Kazi muhimu ya Mwanasheria mkuu wa serikali ni kuishauri na kuisimamia serikali ili isiende kufanya mambo yanayokiuka Sheria na Katiba ya nchi. Hata kitendo cha kuhakikisha naye anakuwa sehemu ya Bunge ni kuona ndani ya jengo hilo tukufu sheria na katiba zinafuatwa bila kunajisiwa. Sasa hivi...www.jamiiforums.com
Wakati mwingine ndiyo maana tunaamini taarifa za mitandaoni kuliko za serikali
Zege halilaliTusubiri tumzike baba,ndipo tuliamshe dude
Hiyo simu yako ina-scratch etiiiKama unataka kuona uzuri wa jeshi andalia Ugana, Congio, Nyamar (Burma), Burundi, na Libya! Hiyo nafasi ya kuandika humu hutaipata maana internet zitafungwa. Tuone kama utasimama Kariakoo kuropoka unayoropoka.