Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #21
Hakuna atakayekuwekea. Ndio maana hutaona hata mchangiaji mmoja anaziandika kwa sababu zinajulikana.Tuwekee tu hapa Doctor. Hutopungukiwa
Uvunjwe na upigiwe kura na wananchiMuungano ni mzuri sema una changamoto kadhaa ambazo zinawezekana kurekebisha kasoro zake.
Nani atahesabu hizo kura?Uvunjwe na upigiwe kura na wananchi
Ahaa!Kuhusu muungano wetu wa hovyo na mambo mbalimbali ya nchi
Itaundwa kamati itakayo jumuisha makundi mbalimbali ambayo hayafungamani na CCMNani atahesabu hizo kura?
Wazo la kipuuzi hiliHakuna Hoja yoyote
Keshaweka hapa hoja ya Muungano ambayo kwa kawaida haijibiki kwa sababu mwenye liMuungano lake hayupoHakuna atakayekuwekea. Ndio maana hutaona hata mchangiaji mmoja anaziandika kwa sababu zinajulikana.
Utaona tu watu wakichangia.
Kazitafute.
Nyerere ukamfufue kaburini? tunataka solution ya huu muungano fake ambao ni wanzazibar pekee ndiyo wana haki zoteAhaa!
Kwa hilo la Muungano anayeweza kutoa Majibu ni Nyerere. Japo ht Lukuvi kuna clip moja hv alitoa majibu
yaani kibaraka ajibiwe na muhimili wa dollar, wenye kazi na majukumu mazito na muhimu sana ya kuwatumikia wanainchi kwa haki, usawa na uhuru πMpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu.
Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Taifa Chadema alimwaga sumu ktk Mikoa takribani sita, sumu hiyo isiyoua bali inayolenga kuwapa Mwangaza Watanzania wote kuhusu Mstakabali wa Nchi yao na uongozi.
Hata hivyo inaonekana Damage aliyosababisha Tundu Lissu kwa chama Tawala is beyong Repair.
Baada ya Magwiji hao wa kisiasa Kinana na Ali Hapi kujitokeza kujibu na kufafanua wamejikuta wanajichanganya tu wao wenyewe na kuwachanganya wasikilizaji wao.
Mkanganyiko huo si vema tukauruhusu kuendelea maana unawaweka Wananchi Njia Panda au waendelee kuamini yale waliyofundishwa na Mh Tundu Lissu.
Niumbe kwa Heshima na Tadhima watu wenye ueledi kwa level sawa na ya Lissu wajitokeze ktk sehemu ya kuitumikia Taifa wafafanue na kunyoosha mabonde mabonde yaliyoachwa.
Mh Mwanasheria Mkuu na Jaji Mkuu ni watu tunaoamini wana weza kazi hii kwa kiwango kikubwa na kufuta sintofahamu inayoendelea.
Waheshimiwa wasomi jitokezeni muokoa Jahazi.
Nawatakia kazi njema watumishi woote Nchini, tukutane 2025
Haki, usawa na uhuru??? Vichekesho.yaani kibaraka ajibiwe na muhimili wa dollar, wenye kazi na majukumu mazito na muhimu sana ya kuwatumikia wanainchi kwa haki, usawa na uhuru π
dharau hizo kubabaika na kibaraka π
Nchi itajengwa juu ya Mawe? Huna pointi.Kujibu hoja hakutatui changamoto za Watanzania!
Hizo ni sarakasi za siasa tuu..
Watz wanapenda sifa sana... Waonekane Wana akili, huo ni ujinga tuuu.
Tujikite kuijenga nchi yetu! Nchi Ina shida nying sana tunaenda kwa neema ya Mungu
Ukweli ushajulikanaHoja ya kisiasa hujibiwa kisiasa. Wacha Kinana na Hapi wajibu hoja za Lissu. Sisi wananchi tutajua ukweli wa mambo.
na kwa uwazi na weledi wa viwango vya Juu sana πHaki, usawa na uhuru??? Vichekesho.
AG & CJ si wasomi wa kulisaidia taifa,wapo pale kwaajili ya matumbo yao.Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu.
Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Taifa Chadema alimwaga sumu ktk Mikoa takribani sita, sumu hiyo isiyoua bali inayolenga kuwapa Mwangaza Watanzania wote kuhusu Mstakabali wa Nchi yao na uongozi.
Hata hivyo inaonekana Damage aliyosababisha Tundu Lissu kwa chama Tawala is beyong Repair.
Baada ya Magwiji hao wa kisiasa Kinana na Ali Hapi kujitokeza kujibu na kufafanua wamejikuta wanajichanganya tu wao wenyewe na kuwachanganya wasikilizaji wao.
Mkanganyiko huo si vema tukauruhusu kuendelea maana unawaweka Wananchi Njia Panda au waendelee kuamini yale waliyofundishwa na Mh Tundu Lissu.
Niumbe kwa Heshima na Tadhima watu wenye ueledi kwa level sawa na ya Lissu wajitokeze ktk sehemu ya kuitumikia Taifa wafafanue na kunyoosha mabonde mabonde yaliyoachwa.
Mh Mwanasheria Mkuu na Jaji Mkuu ni watu tunaoamini wana weza kazi hii kwa kiwango kikubwa na kufuta sintofahamu inayoendelea.
Waheshimiwa wasomi jitokezeni muokoa Jahazi.
Nawatakia kazi njema watumishi woote Nchini, tukutane 2025
Lissu hakusema Mzanzibar asifanye maamuzi Bara.Samahani nadhani nilipitwa kidogo. Hizo hoja ni zepi? Tuwekee hapa km hutojali