Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Jaji Mkuu wajitokeze Kujibu au kufafanua Hoja za Tundu Lissu. Hawa wengine wanajichanganya tu

Tuwekee tu hapa Doctor. Hutopungukiwa
Hakuna atakayekuwekea. Ndio maana hutaona hata mchangiaji mmoja anaziandika kwa sababu zinajulikana.

Utaona tu watu wakichangia.

Kazitafute.
 
Keshaweka hapa hoja ya Muungano ambayo kwa kawaida haijibiki kwa sababu mwenye liMuungano lake hayupo
 
Hoja ya kisiasa hujibiwa kisiasa. Wacha Kinana na Hapi wajibu hoja za Lissu. Sisi wananchi tutajua ukweli wa mambo.
 
Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu.

Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Taifa Chadema alimwaga sumu ktk Mikoa takribani sita, sumu hiyo isiyoua bali inayolenga kuwapa Mwangaza Watanzania wote kuhusu Mstakabali wa Nchi yao na uongozi.

Hata hivyo inaonekana Damage aliyosababisha Tundu Lissu kwa chama Tawala is beyong Repair.

Baada ya Magwiji hao wa kisiasa Kinana na Ali Hapi kujitokeza kujibu na kufafanua wamejikuta wanajichanganya tu wao wenyewe na kuwachanganya wasikilizaji wao.

Mkanganyiko huo si vema tukauruhusu kuendelea maana unawaweka Wananchi Njia Panda au waendelee kuamini yale waliyofundishwa na Mh Tundu Lissu.

Niumbe kwa Heshima na Tadhima watu wenye ueledi kwa level sawa na ya Lissu wajitokeze ktk sehemu ya kuitumikia Taifa wafafanue na kunyoosha mabonde mabonde yaliyoachwa.

Mh Mwanasheria Mkuu na Jaji Mkuu ni watu tunaoamini wana weza kazi hii kwa kiwango kikubwa na kufuta sintofahamu inayoendelea.

Waheshimiwa wasomi jitokezeni muokoa Jahazi.

Nawatakia kazi njema watumishi woote Nchini, tukutane 2025
yaani kibaraka ajibiwe na muhimili wa dollar, wenye kazi na majukumu mazito na muhimu sana ya kuwatumikia wanainchi kwa haki, usawa na uhuru 🐒

dharau hizo kubabaika na kibaraka 🐒
 
Kujibu hoja hakutatui changamoto za Watanzania!

Hizo ni sarakasi za siasa tuu..
Watz wanapenda sifa sana... Waonekane Wana akili, huo ni ujinga tuuu.

Tujikite kuijenga nchi yetu! Nchi Ina shida nying sana tunaenda kwa neema ya Mungu
 
Haki, usawa na uhuru??? Vichekesho.
 
Kujibu hoja hakutatui changamoto za Watanzania!

Hizo ni sarakasi za siasa tuu..
Watz wanapenda sifa sana... Waonekane Wana akili, huo ni ujinga tuuu.

Tujikite kuijenga nchi yetu! Nchi Ina shida nying sana tunaenda kwa neema ya Mungu
Nchi itajengwa juu ya Mawe? Huna pointi.
 
Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu.

Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Taifa Chadema alimwaga sumu ktk Mikoa takribani sita, sumu hiyo isiyoua bali inayolenga kuwapa Mwangaza Watanzania wote kuhusu Mstakabali wa Nchi yao na uongozi.

Hata hivyo inaonekana Damage aliyosababisha Tundu Lissu kwa chama Tawala is beyong Repair.

Baada ya Magwiji hao wa kisiasa Kinana na Ali Hapi kujitokeza kujibu na kufafanua wamejikuta wanajichanganya tu wao wenyewe na kuwachanganya wasikilizaji wao.

Mkanganyiko huo si vema tukauruhusu kuendelea maana unawaweka Wananchi Njia Panda au waendelee kuamini yale waliyofundishwa na Mh Tundu Lissu.

Niumbe kwa Heshima na Tadhima watu wenye ueledi kwa level sawa na ya Lissu wajitokeze ktk sehemu ya kuitumikia Taifa wafafanue na kunyoosha mabonde mabonde yaliyoachwa.

Mh Mwanasheria Mkuu na Jaji Mkuu ni watu tunaoamini wana weza kazi hii kwa kiwango kikubwa na kufuta sintofahamu inayoendelea.

Waheshimiwa wasomi jitokezeni muokoa Jahazi.

Nawatakia kazi njema watumishi woote Nchini, tukutane 2025
AG & CJ si wasomi wa kulisaidia taifa,wapo pale kwaajili ya matumbo yao.
 
Samahani nadhani nilipitwa kidogo. Hizo hoja ni zepi? Tuwekee hapa km hutojali
Lissu hakusema Mzanzibar asifanye maamuzi Bara.

Lissu amesema Mzanzibar kuziacha salama bandari na ardhi za Zanzibar huku anauza na kugawa bandari na ardhi za Bara ni ushahidi kwamba Tanganyika inadhulumiwa na Rais Mzanzibari asiye na uchungu na Tanganyika, na kwamba Muungano huu unabaka haki, rasilimali na maslahi ya Tanganyika.
 
Njia rahisi ya wao kujibu HOJA za Lissu ni KUKUBALIANA na HOJA zake..kinyume cha hapo na wao,WATACHAFUKA
 
Back
Top Bottom