Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya, ila kwa upande wa Mahakama pia tunaomba Hukumu za wananchi ziandikwe kwa lugha yetu ya taifa ya Kiswahili, kwani hadi sasa bado mahakama zetu zinaandika kwa lugha ya Kizungu!!
tunaomba utekelezaji ufanyike mara moja, Waziri wa Sheria Prof. Kabudi tunamuomba asimamie jambo hili ili liweze kutekelezeka kwa masilahi ya wananchi.