Mwanasheria na Msimamizi wa Wachezaji Dada Yasmine: TFF iachane upesi na Kocha Adel Amrouche kwasababu zifuatazo.....

Amevunja sheria zipi za mpira au ukocha?

Watanzania huwa hawapendi kuambiwa ukweli na kubanwa kwenye ulaji.

Wa Algeria kwao mwiko kusema uongo, wana falsafa ya, ni heri umwambie mtu ukweli akuchukie kuliko kumwambia uongo akupende.
Undugu katika imaan unakufanya usiyaone mambo kwa uhalisia wake, hata huwa sikutilii maanani.
 
Narudia jambo ambalo nimesema humu ndani mara kwa mara na hadi kuna uzi niliwahi kuufungulia. Mzize aliitwa katika kikosi cha awali cha AFCON ila hakuitikia wito. Hakuna anayehoji hilo na usidhani hawajui hilo, kuwa makini kiwanja hiki hakiuzwi! Hizi ni fitna za kiswahili tu mkijua ama hana taarifa ya fitna mnazompiga huku mitandaoni na kwenye vyombo vya habari au kwa taaluma yake hawezi kutoka kujibizana na nyie.

Mlipomleta mlimsifia sana na kipindi kile mtu ungetoka kupinga kuchaguliwa kwake ungeonekana mchawi leo hii mmemgeuzia kibao. Kwa jinsi nature ya fitna na chuki ilivyo, unaweza kuta alikataa kuwa wakala wa hao kina Mzize kwa sababu labda hakuridhishwa na viwango vyao kuweza kusema awasimamie au awatafutie soko, mkaamua kumgeuzia kibao kusema alitaka kulazimisha awe wakala wao.

Mlimpamba kuwa siyo tu ni bonge la kocha ila ni mkufunzi wa makocha wengine hadi kina Nabi wamepitia kwake. Kiko wapiiii?

Mjuaji nimeongea!
 
Mzize alikataa wito? hii mpya
 
GENTAMYCINE sikuwahi Kumkubali huyu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche tokea anateuliwa na kama una Ushahidi ulio Kuntu na wa Kimaandishi wa Mimi Kumkubali hapa JamiiForums tafadhali upesi sana nakuomba uuweke Mkuu sawa?
 
Hao wageni walitusaisia nn hadi tuwaamini kiasi hcho, bara tukomae na hz janjajanja zetu pengine zikafanya kitu.
Kwa sasa hatuna kocha mzawa mzuri. Kama nchi tungekuwa na program za kuandaa makocha toka kwa wachezaji wetu waliotumikia taifa kwa muda mrefu kama akina Cannavaro ili wawe makocha wa Timu ya Taifa. Sasa angeandaliwa Mbwana Sammata apewe mikoba kwa siku za mbeleni ingesaidia.
 
GENTAMYCINE sikuwahi Kumkubali huyu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche tokea anateuliwa na kama una Ushahidi ulio Kuntu na wa Kimaandishi wa Mimi Kumkubali hapa JamiiForums tafadhali upesi sana nakuomba uuweke Mkuu sawa?
Hilo tu? Mbona dakika sifuri!

Post hii hapa chini uliwataja watu wengine kama ndiyo sababu ya wachezaji fulani kutoitwa au kupangwa. Leo zigo lote unamshushia yeye.

Kuna uzi mwingine umesema Msuva ndiyo kampigia pande shemeji wake aingizwe timu ya taifa huku hana viwango halafu hapa unatetea hoja kuwa Msuva alikuwa na shida na Amrouche. Sasa Amrouche angewezaje kushawishika kumchukua mchezaji aliyeletewa na Msuva tena asiyekidhi viwango?
 
Kina Julio, Kanakamfumo, Mkwasa, Mgunda.😂😂
Unajisikiaje kuchangia Uzi wa Mtu ambaye kwa muda mrefu ulikuwa ukiwataka JamiiForums Moderators na hata JamiiForums Founder Mwenyewe WASINIFUNGULIE tena GENTAMYCINE hili Jukwaa la Michezo?
 
Unajisikiaje kuchangia Uzi wa Mtu ambaye kwa muda mrefu ulikuwa ukiwataka JamiiForums Moderators na hata JamiiForums Founder Mwenyewe WASINIFUNGULIE tena GENTAMYCINE hili Jukwaa la Michezo?
 
Huu Ushahidi wako Logically una connection yoyote ile ya Mimi ama Kumkubali au Kumkataa Kocha Mkuu Mpuuzi wa Taifa Stars Adel Amrouche?

Kwanini huwa mnaoenda Kunilazimisha GENTAMYCINE niwe Nawadharau kwakuwa hamna Akili?
 
Yasmine toka kuwa promota wa muziki hadi kuwa msimamizi wa wachezaji?

Hapo ugomvi wa kimaslahi kwa sie tunaendaga tff kufuatilia mambo yetu tunajua ni jinsi gani huku nyuma watu wanavyochunguliana
 
Yasmine toka kuwa promota wa muziki hadi kuwa msimamizi wa wachezaji?

Hapo ugomvi wa kimaslahi kwa sie tunaendaga tff kufuatilia mambo yetu tunajua ni jinsi gani huku nyuma watu wanavyochunguliana
Majungu na Wivu dhidi ya Dada Yasmine at Work now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…