Mwanasheria wa kimataifa wa Lissu, Robert Amsterdam, asema wanaendelea na uchunguzi wa tukio la Lissu kushambuliwa na watatoa taarifa ya uchunguzi huo

Ninyi ni watu wa PYU PYUU tu, inasikitisha sana. Kiongozi mkubwa wa nchi anatoa maelekezo na kubariki GENGE LA WAHUNI kushambulia mwanasiasa kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA, eti kwa kuwa amezidiwa hoja tu?
Unanipigia kelele tu.
 
Kampeni za jiwe zinaenda kugubikwa na kashfa ya shambulio la Lisu. Huyu mzungu anafanya timing mbaya Sana. Kwann hakuyasema haya kabla?
Nikweli kabisa.
Ila kwa hapa kwetu Tanzania kashfa ambayo inaweza kumtikisa mtu na akapoteza trust kwa raia ni moja tu.....Kashfa ya "USHOGA".
Ila zilizobakia zote, wa bongo huwa tunajifanya hatuzioni wala kuzisikia.
Mfano:
Ufisadi, Rushwa, Mauaji yanayofanya na wasio julikana, Uonevu kwa wapinzani, na mengine mengi tu.
Hayo yote yametokea na yanaendelea kutokea katika jamii na hakuna reaction kutoka kwa raia, wachache tunabaki kuvimba nyuma ya keyboard na kuandika ' IPO SIKU TU'
Mtaani kuna kamsemo " Watajuana wenyewe".

Ila tuendelee kusubiri hiyo siku kwasababu siku hazija isha wakati huohuo tunaisha sisi.
 
Pia afrika mfumo ukishakutupa huna chako waweza fanywa chochote na aliyepo.

Huwezi ukawatembea mabaya wenzake then wakuache siku mfumo ukikutupa.Thus madikteta yote uopt kufia madarakani kitu ambacho awakifanikishi
Ipo siku tu, acha wajifurahishe leo kilevi kikiwa kichwani.

Kuna siku watajikuta ulevi wote haupo tena.
 
Unajua mkuu 'snowden', 'mind set' hizo ulizoziandika hapo ndizo wanazotakiwa kuzifanyia kazi wapinzani, kuzibadilisha.

Kwani unadhani kazi yao kubwa ni ipi? Kwa bahati mbaya, hao wapinzani kazi hiyo inawashinda kila mara.

Mimi nimeondokana na hii hali ya kuwalaumu wananchi kila mara. Wanaostahili lawama ni wapinzani. Kazi imewashinda.
 
Kabisaaaaah
 
Mkuu murder na attempted murder (assassination) siyo mchezo its very serious even in countries judiciary system is weak. Jamaa na genge lake hawachomoi.
Watatoa hukumu wakiwa kwao huko na itaishia huko walipo.
Hivi ww Ulaya ipi unakaa uko mtupu boya kabisa.
 

Mpinzani ni nani?
 

Tatizo la kuanzisha mada ya aina hii ni kutahayarisha mamlaka zihakikishe Lissu hapati kabisa nafasi ya kugombea uongozi wowote nchini.

Ninavyoelewa, wanaopanga kuleta mabadiliko makubwa au kuwachukulia hatua kali waliopo madarakani leo, hawatangazi mawazo wala mipango yao hadi washike dola. Hiyo inaitwa “stealth effect”. Rejea kidogo mfano wa Angola au hata awamu hii hapa kwetu. Kuna watu ndani ya chama tawala hawakutarajia kupata “ubatizo wa moto”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…