Mwanasheria wa kimataifa wa Lissu, Robert Amsterdam, asema wanaendelea na uchunguzi wa tukio la Lissu kushambuliwa na watatoa taarifa ya uchunguzi huo

Sipati picha unazunguka kupiga kampeni na pushup nchi nzima kuomba nafasi ya juu huku ushahidi wa wazi unawekwa hadharani kushiriki kwako kutenda "makosa" hayo makubwa kwa binadamu.
Makosa ya kumuenzi mhalifu na kumhukumu mwenyeheri yalifanyika wakati wa karne ya kwanza na hayarudii tena.
Ni pale wayahudi walipo amua kumuachia Baraba muuaji na kumhukumu Yesu auwawe. Kosa lile haliwezi kurudia tena kwa wanadamu wa sasa. Kampeni za mwaka huu zitakuwa badala ya kujisifu habari ya ndege, SGR, sijui Madaraja ni kujitetea kuhusu "maovu" yenye ushahidi
 
Aliyemshambilia ni yule aliyekuwa analinda uenyekiti wake usichukuliwe. Tunajua na mtaelewa. Na Wengi waliokuwa waratibu wameikimbia Chadema Kiroho safi na Wachache wamebaki
Zile SILAHA ZA KIVITA zinamilikiwa na mamlaka gani hapa nchini? Halafu Serikali hii inayopenda sifa isimchukulie hatua yeyote ile hadi sasa? Wewe UVCCM hebu muwe mnaongea huo upuuzi na familia zenu huko.
 
We unasema reaction ni ushoga? Hujawahi kuibiwa mali ukaona mwizi kitu wananchi wanamfanya😂😂😂???
Sipo huko mkuu...
Nazungumzia reactions za raia dhidi ya serikali kwa ujumla, huwa tuna react nyuma ya keyboard tena wachache.
Mfano.
Mgao wa ESCROW raia tuli react tukiwa nyuma ya keyboard, hatakama tuliambia pesa sio za umma.
 
Sipo huko mkuu...
Nazungumzia reactions za raia dhidi ya serikali kwa ujumla, huwa tuna react nyuma ya keyboard tena wachache.
Mfano.
Mgao wa ESCROW raia tuli react tukiwa nyuma ya keyboard, hatakana tuliambia pesa sio za umma.
Sio kwamba hatupendi ila tatizo ni Mabiti ya Kamanda Muroto 🤣🤣🤣!!!

"Watapigwa watachakaa!"

Sasa kwa hali hio utatoa pua uraiani na bango sijui black lives matter?
 
Cjui mnyakyusa ww wp unakuwa pimbi kuasi hicho...bila shaka wee ni mnyasa wa malawi
 
Duuh sory mkuu..
 
Aliyemshambilia ni yule aliyekuwa analinda uenyekiti wake usichukuliwe. Tunajua na mtaelewa. Na Wengi waliokuwa waratibu wameikimbia Chadema Kiroho safi na Wachache wamebaki
Cjui wee mnyakyusa wa wp unakuwa pimbi kiasi hicho..bila shaka ww ni mnyasa wa malawi...
 
Ndiyo maana wamewaongeza wengine wapewe kinga ya kutoshtakiwa, akina Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu

Wanachosahau hao watu ni kuwa kesi ya jinsi huwa haifi, hata ipite miaka kadhaa
Kinga ya kutoshtakiwa wakiwa kwenye system wakitoka jela ipo palepale.Mfumo ukishakutupa unafanywa chochote na aliyepo,Kinga sio msahafu ni makaratasi yanabadilishwa mda wowote tu
 
Mungu mbariki Lissu, Mabeberu meusi ya Chatto yavimbe yafure yapasuke
 
Ujinga mtupu bado akifika ana kesi za kujibu anafikiri nchi hii ni ya mama yake tunataka apewe fundisho ambalo mwingine hatathubutu kurudia mm naona hata magolori Yale yalimstahili jitu saliti
Mjinga marehemu Mama na baba yako waliozaa Toto pumbavu Kama ww lisilokuwa na akili hata ya kuvuka barabara!

Ww Ni Nani hata uamue Nani aishi Nani auawe, kenge wa Pakistan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…